Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha ha ha,hawa ndo viongozi wa dini say jiji lA Nairobi tu? Sasa hapa nd'o wanazidi kujichoresha zaidi jinsi wanavyolazimisha kujitengenezea kukubalika.
Kwa namna mambo yanavyoendelea sidhani ili la hawa jamaa kuwa 'inmates' kama litamaterialize,kwasababu,kwanza kuna pesa ndefu sana inatembezwa kwa key figures kibao pesa ndefu sana,na wakikosea mwendo wanaokwenda nao utasikia kashfa,huko mbele lobbyist washawekwa sawa watu washapewa chao tayari wapo kwenye corridor za kimataifa kusawazisha mambo kwa wakubwa,kesi itamalizwa in the fashion of muthaura,ya muthaura ilikuwa dibaji tu.Na hata siku hizi mbili kulikuwa na ushindani mkali sana kati serikali inayoondoka na majaji wa mahakama ya supreme court hapo source yangu haikuingia ndani sana.Lakini yote katika yote ni kwamba kumbe Urais kenya ni zaidi ya siasa,ni biashara na mambo mengine yanayofanana na hayo.Wakenya bwana, hivi mlijisahau kwamba soon hawa jamaa watakuwa inmates? Tusubiri tuone watakavyotawala remotely wakiwa jela
Hivi Kibaki anatokea pande zipi za Kenya? ni karibia na lake victoria?
maana naona kuna kaka yake ambaye ni waziri hapa kwetu.
Wazee wa adobe can you pls put these twins together for me??
Wakenya bwana, hivi mlijisahau kwamba soon hawa jamaa watakuwa inmates? Tusubiri tuone watakavyotawala remotely wakiwa jela