Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raphael Tuju tangu alipomsaliti Raila aliyemuinua kisiasa na kumkumbatia Kibaki na kumsaidia hujuma dhidi ya Raila ndipo alipoteza muelekeo kwani baada ya ngwe ya 2002-2007 kuisha alitupiliwa mbali katika uchaguzi uliofuatia na hadi leo hii amepotea kisiasa.
Ni sawa na huyo Miguna aliyeamua kupigana vita na Raila baada ya kutemeshwa kibarua toka ofisini kwake ofisi ya Waziri Mkuu. Kwahiyo hao si watu wanaoweza kutoa statement ya kuwawakilisha wazee wa kijaluo ama wataalamu wa kijaluo. Hata siku moja wajaluo hawawezi kumkana mtoto wao aliyewaletea heshima na kuwatoa katika unyonge wa kisiasa nchini Kenya.
Uraisi wa muda tu huo. Mahakama itatengua ushindi huo.
Mtuhumiwa Rais wa Kenya! Hongera
Hata ukichukua kura za wagombea Urais wote uongeze na zilizoharibika umpe Raila bado Uhuru anamshinda Raila na kura 4,099 sawa 0.7% . Kwa kifupi katiba ya Kenya inamhitaji mgombea urais apate nusu ya kura zote zilizopigwa kuongeza kura moja (yani mtu mmoja) hiyo ni sawa 50%+1.
Uhuru alipata nusu ya kura (50% +4,099 )
ukichukua kura za wagombea wote wa uraisi hazifiki asilimia hamsini hata kama ukiongeza zilizoharibika bado zitapunguka asilimia point sufuri saba (49.93) kwa kuwa Uhuru alipata 50.07%
anao wengi tuu ikumbukwe Mama Ngina alikuwa mke wa nne wa Jomo Kenyatta! Nashindwa kuelewa kwanini watoto wengine hawatajwi?Jomo Kenyata hakuna mtoto mwingine zaidi ya huyu? Jomo Kenyata alimzaa mtoto wake huyo uzeeni?