johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wana Katiba MpyaWana katiba nzuri sana lakini?
Jamaa Mluga luga sanaSafi sana Uhuru ,huyo Hustler ana visasi sana.
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.Wana katiba nzuri sana lakini?
wapigane tuu sisi hayatuhusu tuendelee kuzalisha wakija kupatana tutawauzia hawajawahi kutupenda hata ivyo.
bidhaa za viwandani na kilimo.Kuzalisha nn?
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Wamekufa Watu 12 unasema maandamano yamefeli?Hiyo ni stage managed event baada ya Maandamano ya Raila kufeli
Kweli wewe ni Apeche Alolo. Hujui kwamba Kenya na Tanzania zinategemeana sana kibiashara? Panapotokea machafuko Kenya ni kuwa biashara nyingi zinakwama. Madhara ni makubwa hadi kwa majirani.wapigane tuu sisi hayatuhusu tuendelee kuzalisha wakija kupatana tutawauzia hawajawahi kutupenda hata ivyo.
Kwani iliyopo sasa inasemaje?Kama katiba haina msaada basi teueni mgomea urais wa miaka 25 ,na pia Samia aongoze mpaka 2023 bila uchaguzi.
Ukiona Kiongozi anasiliba katiba means anacheza na loopholes zilizopo kwenye katiba lakini kukiwa na katiba konki hakuna yeyote atakayekiuka ndiyo maana hamjawahi kuteua mgombea urais mwenye umri chini ya miaka 40 au rais akaendeleza kipindi cha pili bila kufanya uchaguzi mlioweka kila baada ya miaka mi5 ,mbona hayo mnafuatisha? Mnafuatisha kwasababu yapo straight hakuna mbambamba(loopholes).
Lengo la maandamano lilikua ni kuua watu?? Odinga, Kalonzo, Wamalwa, Oparanya, Mwangi wairia, Martha karua, Wajackoya, Otiende amollo etc. Walikua wapi kuongoza maandamano??Wamekufa Watu 12 unasema maandamano yamefeli?
Yetu ni nzuri Zaid,ndo maana tunauza bandari mkuu.Wana katiba nzuri sana lakini?