Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
hili neno la maanisha nini?inogile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili neno la maanisha nini?inogile
hili neno la maanisha nini?
Uhuru zao la JKRuto anacheza na mtoto wa mjini Uhuru?
Nchi itamshinda soon
Hikma ya kugawana Madaraka kwa kuwa tu kura mmepishana kiasi kidogo inaua DemokrasiaKwenye Siasa Ushindi wa 51% kwa 49% ni tofauti kabisa na hisa 51% za Simba na 49 za Mo
Ushindi mwembamba Siasani unahitaji hekima kubwa ya Uongozi ndio sababu Karume kasema CCM haijawahi kushinda uRais Zanzibar
Ulokole wa Nigeria utamgharimu sana Ruto
Safi sanaHaya mambo ya Uongozi ni magumu Sana Hata ukistaafu basi utaandamwa tu mimi ndio sababu Nampongeza Sana mzee Mwinyi Ruksa alipostaafu tu alikimbilia Msikitini na kujikita na mambo ya muumba tu
Nchi jirani ya Kenya Rais Ruto anampelekea moto Boss wake mstaafu Uhuru Kenyatta na kuizongazonga familia yake akiwemo mama na mtoto wake
Uhuru kamtolea uvivu Ruto kwa kumwambia amkamate Yeye asizungukezunguke tu na kuwasumbua Wanawake na Watoto
Kupitia Citizen TV Uhuru ameonekana alimwambia Ruto kwamba kuanzia sasa atailinda familia yake kwa gharama yoyote ile
Duh.... Ukiona kwako kunafuka Moshi just kwa mwenzako moto unawaka
Mlale Unono 😃
Kwa fikra zako hizo hutaacha kuwa mtumwa.Usijifiche Kwa Katiba mpya! Mageuzi ni lazima kuondokana na wakoloni weusi! Mi-ccm yasitutishe!
Anayechochea maandamano ndo dikteta hakubali kushindwa kwenye uchaguzi wa kidemokrasiaRuto ni mshamba sana ndo madhara ya kumpa madarakani mshamba,tuliwaambia wakenya huyo ni zao la dikteta hawakusikia.
Ana bifu za kijinga
Kuna wakati mtu akisoma mabango yako anaweza kujiuliza, hivi huyu kaamua kujifanya mjinga au ndio ujinga wenyewe? Na kuna wakati unaona huyu anatumia akili zake vizuri kufikiri.Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Ukiona hoja hujaielewa elewa kuwa iko juu ya kiwango cha uelewa, uliza. Kuuliza si ujinga.Kuna wakati mtu akisoma mabango yako anaweza kujiuliza, hivi huyu kaamua kujifanya mjinga au ndio ujinga wenyewe? Na kuna wakati unaona huyu anatumia akili zake vizuri kufikiri.
Do you take weed au dawa zozote za kulevya?
Hata saa mbovu kuna wakati inasoma majira sahihi mkuu.Ukiona hoja hujaielewa elewa kuwa iko juu ya kiwango cha uelewa, uliza. Kuuliza si ujinga.
Weed kwa kumaanisha bangi? Naitumia kwa kujifukiza pamoja na oud, siyo kuvuta. dawa za kulevya situmii kwa kula, natumia perfume inayoitwa opium, inatokana na mmea unaotengeza dawa za kulaza na dawa za kulevya.
Dawa zote unazosikia za kulevya zinatokana na dawa halali kabisa. Ni matumizi yako tu, ukizi "abuse" zinakuwa za kulevya.
Saa za kizamani hizo, siku hizi saa ikiwa mbovu inajitengeneza yenyewe. Mambo ni dijitali, wewe bado uko enzi za baba'ke babu yako?Hata saa mbovu kuna wakati inasoma majira sahihi mkuu.
Tuliite bara la makondoo.Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Halafu anawaambia Watumishi wa Ikulu wawe wanafunga swaumu kumuombeaHuu muziku,Ruto anapaswa kua makini sana
Kweli kabisa, umenipa "vocabulary" mpya leo.Tuliite bara la makondoo.
Nani aliyekupandikizeni huo ujiTuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Kenya ilipofika haihitaji Raila ajitokeze ndio waandamane, yaani kilo ya sukari ununue elfu 10 ya bongo? Kwanini usiandamane mpaka Raila aongoze? Ni hivi Ruto amefeli tofauti na matarajio Sasa badala ya kumtuliza akili naye anatumia mbinu zile zile za kidiktetaLengo la maandamano lilikua ni kuua watu?? Odinga, Kalonzo, Wamalwa, Oparanya, Mwangi wairia, Martha karua, Wajackoya, Otiende amollo etc. Walikua wapi kuongoza maandamano??
Ruto ni mjinga. Anatapatapa kutokana na kuzidiwa na mambo yanavyoenda. Inaonekana Ruto ana ujinga wa hisia kama huu wa kwako. Kwa vile hajui kisababishi cha kupingwa kwake anabaki kuhisi tu.Uhuru kachagua kuhamasisha Maandamano ya ghasia ili kuvuruga Ruto asitawale kwa amani halafu anampangia Ruto na namna ya ku dili nae
kama unaona sawa kuchochea ghasia kwny jamii acha nae aonje matunda ya kuchochea ghasia kwny familia
Mitano tena kwa Ruto
Haya maandamano yanahusiana Nini na uchaguzi? Haya yanaongelea mfumuko wa bei kwanini asi address matatizo watu automatically hawatoandamana.Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?
Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia