Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Hikma ya kugawana Madaraka kwa kuwa tu kura mmepishana kiasi kidogo inaua Demokrasia

Ushasikia upumbavu huo wa kugawana madaraka Marekani?


Hapo kina Odinga wanataka wagawane ulaji hayo mambo sijui wanapigania ugumu wa maisha ni danganya toto
 
Safi sana
 
Ruto ni mshamba sana ndo madhara ya kumpa madarakani mshamba,tuliwaambia wakenya huyo ni zao la dikteta hawakusikia.
Ana bifu za kijinga
Anayechochea maandamano ndo dikteta hakubali kushindwa kwenye uchaguzi wa kidemokrasia
 
Kuna wakati mtu akisoma mabango yako anaweza kujiuliza, hivi huyu kaamua kujifanya mjinga au ndio ujinga wenyewe? Na kuna wakati unaona huyu anatumia akili zake vizuri kufikiri.

Do you take weed au dawa zozote za kulevya?
 
Kuna wakati mtu akisoma mabango yako anaweza kujiuliza, hivi huyu kaamua kujifanya mjinga au ndio ujinga wenyewe? Na kuna wakati unaona huyu anatumia akili zake vizuri kufikiri.

Do you take weed au dawa zozote za kulevya?
Ukiona hoja hujaielewa elewa kuwa iko juu ya kiwango cha uelewa, uliza. Kuuliza si ujinga.

Weed kwa kumaanisha bangi? Naitumia kwa kujifukiza pamoja na oud, siyo kuvuta. dawa za kulevya situmii kwa kula, natumia perfume inayoitwa opium, inatokana na mmea unaotengeza dawa za kulaza na dawa za kulevya.

Dawa zote unazosikia za kulevya zinatokana na dawa halali kabisa. Ni matumizi yako tu, ukizi "abuse" zinakuwa za kulevya.
 
Hata saa mbovu kuna wakati inasoma majira sahihi mkuu.
 
Hata saa mbovu kuna wakati inasoma majira sahihi mkuu.
Saa za kizamani hizo, siku hizi saa ikiwa mbovu inajitengeneza yenyewe. Mambo ni dijitali, wewe bado uko enzi za baba'ke babu yako?

Set saa ya kisimu chako vizuri, utanielewa tu.
 
Mwanasiasa mkongwe na bilionea wa Kenya jimmy wanjigi alimwambia Rutto kugusa familia ya Kenya ni kama kugusa live wire.....Rutto ingawa ni Raisi ila mziki wa Kenyatta hauwezi ...achunge otherwise hatamaliza hizi 5 years.
 
Tuliite bara la makondoo.
 
Nani aliyekupandikizeni huo uji
nga?
 
Lengo la maandamano lilikua ni kuua watu?? Odinga, Kalonzo, Wamalwa, Oparanya, Mwangi wairia, Martha karua, Wajackoya, Otiende amollo etc. Walikua wapi kuongoza maandamano??
Kenya ilipofika haihitaji Raila ajitokeze ndio waandamane, yaani kilo ya sukari ununue elfu 10 ya bongo? Kwanini usiandamane mpaka Raila aongoze? Ni hivi Ruto amefeli tofauti na matarajio Sasa badala ya kumtuliza akili naye anatumia mbinu zile zile za kidikteta

Huyu asipokua makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2024.
 
Ruto ni mjinga. Anatapatapa kutokana na kuzidiwa na mambo yanavyoenda. Inaonekana Ruto ana ujinga wa hisia kama huu wa kwako. Kwa vile hajui kisababishi cha kupingwa kwake anabaki kuhisi tu.

Tangu Ruto achukue madaraka, ni lini Uhuru aliwahi kuongea chochote kuhamasisha maandamano?

Ruto kutokana na Ujinga na ulimbukeni, anaamini kuwa hakuna mwenye kuweza kuwafanya wananchi waandamane, zaidi ya Uhuru, hata kama Uhuru hafanyi chochote.

Uhuru akiamua kuunganisha nguvu na Raila, against Ruto, Kenya italipuka, na utakuwa mwisho wa serikali ya Ruto.
 
Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?

Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia
Haya maandamano yanahusiana Nini na uchaguzi? Haya yanaongelea mfumuko wa bei kwanini asi address matatizo watu automatically hawatoandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…