Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

-Hakubaliani na Maamuzi ya Majaji
-Amesema anaheshimu Maamuzi ya Majaji
-Awataka Wakenya Kudumisha Amani ya taifa hill
-Achukizwa na Maamuzi ya Watu 6 (Majaji)
-Yupo Tayari Kurudia Uchaguzi
-Hajabadili msimamo wanaenda tena kwa wananchi kuomba Kura.

Hahahahaha watu Sita kwani tume INA makamishina wangapi
 
Mugabe aliwahi kusema,... mtu yeyeto ambaye anamiliki pesa, majeshi ni yake, polis n wake, mahakama n zake, bunge n lake, tume ya uchaguz n yake, mamlaka n yake halafu eti ameshndwa n kitu cha kushangaza... hivi odinga akishnda knwy uchaguz wa pili s utajuta milele?
Alisahau kuwa hawez kuwa na maamuz ya Mungu.

Kenya ni wakati wa Mungu umefika Raila nae atawale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The man is rattled!

Huyu sio Uhuru Kenyatta tunayemfahamu wakati akiwa kwenye microphone!
 
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama

Naona ile njia mliyompa Shostiko wa Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia za kuiba kura zilishindikana.Bado Uhuru ameshinda tena kwa kishindo kikuu.

Pole sana
 
Siku ya leo imeandikwa historia muhimu sana katika eneo hili la Afrika, kilichotokea Kenya ni hatua ya mfano!

Naweza kusema jamaa wame set standard kwa eneo letu la Afrika, kazi ipo je nchi zingine zitafika kiwango hiki?

Nawaombea Mungu awavushe salama, warekebishe kasoro na wamchague kiongozi wamtakaye. Hii imeonyesha inawezekana kuwa na demokrasia ya kweli Afrika, ambapo chaguzi zetu zinaweza kuwa na uhuru,usawa na uwazi.
 
Wise words Mr Kenyatta
 
Nampongeza Uhuru Kenyata ni mwanademokrasia wa kweli. Ameonyesha ukomavu mkubwa sana. Ni mkweli na mwaminifu. Wangekuwa ni hawa wengine wangetia mikono mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?

Kwahiyo ulitaka akaongelee Chooni? Hata kama ushindi wake umebatilishwa ila Kisheria na Kikatiba bado anaendelea kuwa Rais. Hukukosea kujiita hivyo unavyoitwa.
 
Nimependa kwasababu ameridhia amani iendelee kutawala, Mungu awatie subira waendelee kuyaheshimu maamuzi ya kisheria hata kama watakua hawakubaliani nayo. Every person is selfish, important thing is to preserve peace and harmony.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom