Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
Maccm hawawezi kujifunza chochote kwa sababu akili zao zimeganda hii inatokana na kila kinachofanywa na kiranja wao hata iwe pumba kwao ni dhahabu.Wamejawa uchama zaidi kuliko Nchi yao Tanzania .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoni wakenya! Baba Wa demokrasia Afrika ya mashariki na ya kati! Mmeonyesha njia na tuna matumaini marais wengine Wa eneo hili watajifunza kitu hata kama ni kwa aibu! Nampongeza sana Uhuru Kenyatta! He is the Hero!!!! Majaji wanamwamini! Vinginevyo wasingethubutu kufanya maamuzi hayo! Wanajua wako huru kutekeleza majukumu yao bila kuingiliwa! Hongera sana majaji Wa supreme court! Hongera wakenya wote! Hongereni zaidi sana wafuasi Wa Jubilee! Hamjafanya fujo wala ghasia yoyote! Mungu awabariki!
 
Back
Top Bottom