Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Aisee imetokea kum respect kenyata ghafla wachache sana wanaweza hivyo ,am sure kenyans watamchagua tena
 
Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
Si mlishangilia matokeo mkisema uchaguzi ulikuwa huru Na wa haki?
 
Unaujua mfumo wa siasa wa Kenya? Wameanza kupigania Demokrasia tangu miaka ya 60 baada ya Baba yake ni Oginga kuhitalafiana na mzee Kenyatta wakati Mzee Kenyatta ni Rais na Mzee Odinga ni makamo wa Rais, ndipo harakati za kusaka Demokrasia na kutengenezwa kwa Katiba ya Wananchi vilipo fanikiwa, na haya ndio matunda yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mlishangilia matokeo mkisema uchaguzi ulikuwa huru Na wa haki?
Tena wakaenda mbali na kusema Raila ameponzwa na Magufuli. Haswa Lisu na dada Mange ndio waliokuwa mstari wa mbele kwa hili. Leo sijui watasemaje.
 
Angekua sefu amagesusa
Wewe unadai umeshinda,uchaguzi ukirudiwa watu wako waliokupa ushindi si wapo
 
He is still the Commander in chief of the Kenyan Defense and Security Forces until the end of his tenure in office.

.
 
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama

lowasa hadi kenya tena kwa hiyo tume ndo ilivyotangaza ama kwa utashi wako wa kitanzania wa siasa za maji taka?
 
kweli Kenyatta ameonyesha kukomaa kisiasa...na pia hata mgome zake hawajakataa maamuzi ya mahakama kwa kuadamana..wametulia sana na kusema wanarudi tena kupiga kura...
Nakumbuka ngome za Raila baada ya uchaguzi kuanza kutangazwa kwenye runinga na hatimae Kenyata kutangazwa mshindi walianza chokochoko lakino kwa leo upande wa Uhuru hawajasema mahakama imewaonea wao wanasema kama ni kurudi tena kwenye uchaguzi wapo tayari.
 
Back
Top Bottom