Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 175
Ndugu yangu hebu tuheshimiane basi, haya ni mawazo yangu hata kama huyapendi!Wise words Mr Kenyatta
Mimi sio Mr Kenyatta, mpe heshima zake ni kiongozi wa nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu hebu tuheshimiane basi, haya ni mawazo yangu hata kama huyapendi!Wise words Mr Kenyatta
DOWNLOAD: Nay Wa Mitego - Maku (Makuzi). || Mp3 AUDIO SONG - YIKA BOY ENTERTAINMENT HUBKwahiyo ulitaka akaongelee Chooni? Hata kama ushindi wake umebatilishwa ila Kisheria na Kikatiba bado anaendelea kuwa Rais. Hukukosea kujiita hivyo unavyoitwa.
Kesi gani tena?Uhuru Kenyatta ashinde hiyo kesi na aendelee kuwa raisi tena ikiwezekana abadili mfumo na atawale miaka 30.
Raila odinga atafute kitu kingine cha kufanya.
Si mlishangilia matokeo mkisema uchaguzi ulikuwa huru Na wa haki?Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
CoZ bado ni rais wa Kenya ndio mana watu wanashangaa kuweza kukubali maamuzi ya majaji mana angeweza Fanya loloteMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Unaujua mfumo wa siasa wa Kenya? Wameanza kupigania Demokrasia tangu miaka ya 60 baada ya Baba yake ni Oginga kuhitalafiana na mzee Kenyatta wakati Mzee Kenyatta ni Rais na Mzee Odinga ni makamo wa Rais, ndipo harakati za kusaka Demokrasia na kutengenezwa kwa Katiba ya Wananchi vilipo fanikiwa, na haya ndio matunda yake.Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
Tena wakaenda mbali na kusema Raila ameponzwa na Magufuli. Haswa Lisu na dada Mange ndio waliokuwa mstari wa mbele kwa hili. Leo sijui watasemaje.Si mlishangilia matokeo mkisema uchaguzi ulikuwa huru Na wa haki?
Anaheshimu democracy. Kwetu hapa tujifunze. Hasa kwa wanaopenda kusifia na kushangilia uvunjifu wa democracy na kusigina katiba, mradi kafanya rais.
Anaendelea kuwa Rais mpaka rais mpya atakapokula kiapoMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Katiba mkuu!!!CoZ bado ni rais wa Kenya ndio mana watu wanashangaa kuweza kukubali maamuzi ya majaji mana angeweza Fanya lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokukubaliana na maamuzi sio dhambi, ila kuyaheshimu ni compulsory.
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama