MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Kwani so rais?jielimishe kwanzaMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani so rais?jielimishe kwanzaMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Mbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Magugu ni dicteUhuru the great.... Magufuli nilichukua fomu mimi Mwenywwe [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ni Rais halali wa Kenya mpaka uchaguzi ukamilikeMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Maccm hawawezi kujifunza chochote kwa sababu akili zao zimeganda hii inatokana na kila kinachofanywa na kiranja wao hata iwe pumba kwao ni dhahabu.Wamejawa uchama zaidi kuliko Nchi yao Tanzania .Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
Atashinda tena .