mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Hahahahaha watu Sita kwani tume INA makamishina wangapi
-Hakubaliani na Maamuzi ya Majaji
-Amesema anaheshimu Maamuzi ya Majaji
-Awataka Wakenya Kudumisha Amani ya taifa hill
-Achukizwa na Maamuzi ya Watu 6 (Majaji)
-Yupo Tayari Kurudia Uchaguzi
-Hajabadili msimamo wanaenda tena kwa wananchi kuomba Kura.
bado ni raisi hadi aapishwe raisi mwingineMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Alisahau kuwa hawez kuwa na maamuz ya Mungu.Mugabe aliwahi kusema,... mtu yeyeto ambaye anamiliki pesa, majeshi ni yake, polis n wake, mahakama n zake, bunge n lake, tume ya uchaguz n yake, mamlaka n yake halafu eti ameshndwa n kitu cha kushangaza... hivi odinga akishnda knwy uchaguz wa pili s utajuta milele?
very wise president,Huu ukomavu sikuutegemea kwa nchi za Africa miaka ya karibuni..Thanks Kenyatta you have show us that its Possible!![emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imegeuka sasa Raila kashinda"""!Uhuru Kenyatta ashinde hiyo kesi na aendelee kuwa raisi tena ikiwezekana abadili mfumo na atawale miaka 30.
Raila odinga atafute kitu kingine cha kufanya.
Kwani hivi sasa Rais wa Kenya ni nani?Mbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama
Ndiye raisMbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?
Naenda kujiua. [emoji26] [emoji30] [emoji31] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Wise words Mr KenyattaSiku ya leo imeandikwa historia muhimu sana katika eneo hili la Afrika, kilichotokea Kenya ni hatua ya mfano!
Naweza kusema jamaa wame set standard kwa eneo letu la Afrika, kazi ipo je nchi zingine zitafika kiwango hiki?
Nawaombea Mungu awavushe salama, warekebishe kasoro na wamchague kiongozi wamtakaye. Hii imeonyesha inawezekana kuwa na demokrasia ya kweli Afrika, ambapo chaguzi zetu zinaweza kuwa na uhuru,usawa na uwazi.
Better know that he is the one who chair the ccm party, magogoni is his residence.This Comment sums up how Stupid you are!
Mbona anatumia nembo ya urais apo kwenye podium?