Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Kingereza kimetulia.....upande wa pili tumeona "pongezi" zilizojaa povu la kiswahili....
Ujinga ni kutojitambua....Mswahili ukimtukana kwa lugha ya Kiingereza atafurahi na kuchekelea lakini tusi hilo hilo ukimtukana kwa kiswahili patachimbika.!

Naona wewe ni miongoni mwao.!
 
Unataka mtu apate stroke akijaribu kuongea kisungu.Kisungu kina wenyewe bana ila siyo chato.
Tena kama umefanya research au una uzoefu...ni kuwa siku zote mtu akiwa na hasira zilizopitiliza huwa English inakuwa haipandi kabisa....yani pale ukute ali-tweet kisukuma halaf mtoto wa Dada pale hazina akatafsiri.....
 
Unamaanisha Yohana mbatizaji wa moto? Sio tabu tukutane Zimbabwe.
Uzuri Uhuru Kenyata ni mtoto wa mjini atamfix bila yeye kujua kuwa amekuwa fixed....
 
Lowassa sio Mjumbe wa kamati kuu, ni Mmiliki wa Chadema na Bavicha wote anawamiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niaje watunguyas JF, Watanzania sasa mhamie Kenya kabla hamjanza kukatwa mashingo na huyo uchwara wenu.Ama sijui kama Kenyatta atawasaidia kupitia kwa ndugu na babaetu Lowasa
 
...... hata sielewi maana ya upigaji kura Africa kama ni wazi Uraisi umeshapewa mtu fulani...e.g majirani wetu...kifo cha Msando,kupatikana majajusi katika ofisi za upinzani, nchi fulani juzi Mashariki ya Afrika ambaye kiongozi kapata asimilia zaidi ya 90%...mimi binafsi sioni maana ya kupiga kura...
 
Odinga ni ka Lowasa au Lipumba. Anakomaa wee kupata urais ila all the time anashindwa.
Congrats Uhuru. Amefanya kazi nzuri last term ngoja amalizie alichokianza.

Umesahau Lowassa amemfanyia kampeni Uhuru? UKAWA won the 2015 Tanzania's presidential elections amid the 'TUME YA UCHAGUZI ISIYOKUWA HURU' Tusubiri 2020, nasikia anatengenezewa njia Bashite ili wamalize visasi. Na miss siasa za Nape, hakuwa na husuda wala visasi.
 

CDM wana sera endelevu km alivyo Uhuru, Kenya bajeti Yao inajitosheleza 100%. Tanzania VP? Uhuru kajenga reli ya std gg kimya kimya Wakati ss tunatangazia dunia! Tujitafakari.. .
 
CDM wana sera endelevu km alivyo Uhuru, Kenya bajeti Yao inajitosheleza 100%. Tanzania VP? Uhuru kajenga reli ya std gg kimya kimya Wakati ss tunatangazia dunia! Tujitafakari.. .
Hao Chadema hata ofisi yao ya makao makuu imewashinda halafu ndio unaleta pumba hapa eti wana sera endelevu,labda siasa endelevu ya kuiba mashamba,richmond.kutapeli majengo,kupendeleana kwa rushwa za ngono.Hakuna chama cha hovyo kama Chadema,Chadema buure kabsa
 
Pale Lumumba Ni Mali ya Tanu WW kinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…