Uhuru kuongoza usajili wa wahudumu wa umma upya kupitia biometric

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
The registration of public servants in both national and county governments via the biometric system kicks off tomorrow at 9am. President Uhuru Kenyatta will officially kick-start the exercise alongside Deputy President William Ruto and the Governor of Nairobi, Dr Evans Kidero in their respective offices.

“We have also written to all the Cabinet secretaries asking them to lead their ministries in undertaking this exercise. Our human resource officers will be available to provide support” said Anne Waiguru, the Devolution and Planning Cabinet Secretary. All Public servants working in ministries, departments and agencies at the national and county governments will be required to physically present themselves at the identification centres with original identity cards, duly completed biometric data form, original academic and professional certificates and a letter of first appointment.

According to a Press release from the Devolution Ministry, other documents required include a letter of appointment to the current substantive post, current pay slip and a birth certificate. More needed Photographs and fingerprints will also be added to details already in the database. Civil servants are however opposed to the registration of employees afresh. See also: We're coming for you, Uhuru warns officers protecting drug barons Union of Kenya Civil Servants Secretary General, Tom Odege, has warned the Government against victimising “innocent workers who were hired competitively.”

The biometric registration of public servants will run parallel to the ongoing staff rationalisation both nationally and in the counties. “This exercise will contribute significantly to the rationalisation of the public service by determining the actual numbers of public servants and will also be used to cleanse the payroll at both levels of Government, hence bring a stop to the issue of ghost workers,” said Waiguru. The exercise is undertaken under the Capacity Assessment and Rationalisation of the Public Service (Carps) programme.

The overall objective of Carps is to align Government structures, processes and programmes to the mandates and functions of national and county governments to enhance efficiency and effectiveness in Public Service delivery in line with the Constitution. Ultimately, the programme will ensure Government functions are structured and staffed to facilitate transformation of the public service.
Read more at: http://standardmedia.co.ke/article/2000133276/uhuru-to-lead-public-servants-registration-monday
 
Ikiwa ni Wiki mbili tu zimepita tangu Mtoto wa Mfugaji Mwigulu Nchemba aamue kupambana na Upotevu wa Fedha za Umma kupitia Mishahara Hewa Nchini Tanzania na kuokoa zaidi ya Bilion 40 kwa mwezi, Hii leo Rais wa Kenya naye ameamua kutembea kwenye nyayo hizo hizo kwa kuutangazia Umma kuwa "KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.

Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.

Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.

Wakati hayo yakiendelea Nchini Kenya,Tayari Tanzania kupitia Mwanasiasa na Kiongozi Shupavu Mwigulu Nchemba imeshachukua hatua kwa kulipa Wafanyakazi wa umma mishahara yao Moja kwa Moja ilikubaini Mishahara hewa, Mbali na kulipa Moja kwa moja kwenye Account za watumishi, Pia mwigulu aliagiza Maafisa Utumishi wote kupitia Mafaili ya Watumishi na kutoa mrejesho kila mwezi kwa watumishi walioondoka kwenye Pay roll.

Kitendo cha Rais wa Kenya kuamua kuiga kutumia Mfumo huo, ni dhahiri Mwigulu Nchemba ni VISIONABLE LEADER kwa Nchi yetu na mwenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri na kutekeleza mambo kwa Maslahi ya Umma.

Wenye Kubeza watabeza kama Ada kwa sababu ndio Uwezo wao Umefikia hapo,Wenye kuona mbali watakubali Viongozi kama Mwigulu ni wakautiwa moyo na kupewa ushirikiano iliwaweze kulisaidia Taifa hili kwa hatua kubwa zaidi.

Hongera Mwigulu,Ongeza Juhudi kupigania Maslahi ya Watanzania Wanyonge na Masikini ambao wanaamini kwa sasa wamepata Kiongozi na kimbilio lao.
 
KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.
 
Mwigulu mbona hakutaja hao waajiri waliopatikana kuingiza wafanyakazi hewa.
 
Aisee mh Mwigulu is very creative naona majirani nao wameiga jitihada hizi njema kwa manufaa ya taifa
 
yaani nchi hii inachekesha .... Waziri ana behave kama kunguru ....

what a coward
 
He he he inaweza kuwa ulikuwa ni mpango wao wa muda mrefu tu.... Kwa mimi ninavyoona.
 
Wafanyakazi hewa sio Savi.mbi kalianzisha na kama wewe ni mvivu. wakenya hawezi mwiga savi.mbi tatizo ni team 2015 iko Kazini.
 
Hii thread ilitakiwa kwenda Chitchat! Huku sidhani upuuzi huu utapata wakujadili! Labda wale wanaolipwa kwa post!
 
mantinki ya habari nzima imetawaliwa na sifa kwa "gulu chemba".kuelekea 2015 tutasikia mengi.
 
suala la kupambana na wafanyakaz hewa halianza awamu ya savi acheni tararira
Team 2015 mnajitoa ufahamu sana
 
KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.
Hivi mtu kama Mchemba anaweza akawa amekufanyia nini mpaka umhusudu kiasi hiki!! Nafikiria kwa sauti tu.
 
Wacha kampeni za chini kwa chini, suala la mishahara hewa halijaanza leo na Mwigulu wako. Mwaka 1988 March, 30 zoezi la kuhakiki wafanyakazi liliendeshwa nchi nzima. Nia ilikuwa kuondoa wafanyakazi hewa. Mwaka mwingine siukumbuki wafanya kazi wote iliamuliwa walipwa dirishani na sio benki. lengo likiwa lilelile kuthibiti wafanyakazi hewa. Mwigulu ni copy and paste hana jipya
Salim Kikeke

Ikiwa ni Wiki mbili tu zimepita tangu Mtoto wa Mfugaji Mwigulu Nchemba aamue kupambana na Upotevu wa Fedha za Umma kupitia Mishahara Hewa Nchini Tanzania,Hii leo Rais wa Kenya naye ameamua kutembea kwenye nyayo hizo hizo kwa kuutangazia Umma kuwa "KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.

Wakati hayo yakiendelea Nchini Kenya,Tayari Tanzania kupitia Mwanasiasa na Kiongozi Shupavu Mwigulu Nchemba imeshachukua hatua kwa kulipa Wafanyakazi wa umma mishahara yao Moja kwa Moja ilikubaini Mishahara hewa,Mbali na kulipa Moja kwa moja kwenye Account za watumishi,Pia mwigulu aliagiza Maafisa Utumishi wote kupitia Mafaili ya Watumishi na kutoa mrejesho kila mwezi kwa watumishi walioondoka kwenye Pay roll.
Kitendo cha Rais wa Kenya kuamua kuiga kutumia Mfumo huo,NI dhahiri Mwigulu Nchemba ni VISONABLE LEADER kwa Nchi yetu na mwenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri na kutekeleza mambo kwa Maslahi ya Umma.
Wenye Kubeza watabeza kama Ada kwa sababu ndio Uwezo wao Umefikia hapo,Wenye kuona mbali watakubali Viongozi kama Mwigulu ni wakautiwa moyo na kupewa ushirikiano iliwaweze kulisaidia Taifa hili kwa hatua kubwa zaidi.
Hongera Mwigulu,Ongeza Juhudi kupigania Maslahi ya Watanzania Wanyonge na Masikini ambao wanaamini kwa sasa wamepata Kiongozi na kimbilio lao.
 
Salim Kikeke

Ikiwa ni Wiki mbili tu zimepita tangu Mtoto wa Mfugaji Mwigulu Nchemba aamue kupambana na Upotevu wa Fedha za Umma kupitia Mishahara Hewa Nchini Tanzania na kuokoa zaidi ya Bilion 40 kwa mwezi,Hii leo Rais wa Kenya naye ameamua kutembea kwenye nyayo hizo hizo kwa kuutangazia Umma kuwa "KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.

Wakati hayo yakiendelea Nchini Kenya,Tayari Tanzania kupitia Mwanasiasa na Kiongozi Shupavu Mwigulu Nchemba imeshachukua hatua kwa kulipa Wafanyakazi wa umma mishahara yao Moja kwa Moja ilikubaini Mishahara hewa,Mbali na kulipa Moja kwa moja kwenye Account za watumishi,Pia mwigulu aliagiza Maafisa Utumishi wote kupitia Mafaili ya Watumishi na kutoa mrejesho kila mwezi kwa watumishi walioondoka kwenye Pay roll.
Kitendo cha Rais wa Kenya kuamua kuiga kutumia Mfumo huo,NI dhahiri Mwigulu Nchemba ni VISONABLE LEADER kwa Nchi yetu na mwenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri na kutekeleza mambo kwa Maslahi ya Umma.
Wenye Kubeza watabeza kama Ada kwa sababu ndio Uwezo wao Umefikia hapo,Wenye kuona mbali watakubali Viongozi kama Mwigulu ni wakautiwa moyo na kupewa ushirikiano iliwaweze kulisaidia Taifa hili kwa hatua kubwa zaidi.
Hongera Mwigulu,Ongeza Juhudi kupigania Maslahi ya Watanzania Wanyonge na Masikini ambao wanaamini kwa sasa wamepata Kiongozi na kimbilio lao.
Kweli Tanzania maisha ya maigizo yamekuwa ndio utamaduni wetu... huyu Mwingulu asherati asiye na mbele wala nyuma ndio anajifananisha na Sokoine the great! Huyu Mwingulu anayekwenda kama hana kichwa na akili yake ya punda!
 
Hivi mtu kama Mchemba anaweza akawa amekufanyia nini mpaka umhusudu kiasi hiki!! Nafikiria kwa sauti tu.

Unadhan Kenyatta amekoshwa na nini kuhusu mh Mwigulu Nchemba kama sio Uzalendo wake na ubunifu wa kulipunguzia taifa mzigo wa madeni na umaskini ?!! ImageUploadedByJamiiForums1409675742.870662.jpgImageUploadedByJamiiForums1409675774.804640.jpgImageUploadedByJamiiForums1409675797.475796.jpg
 
Back
Top Bottom