kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Kivipi?!!
Sina maana nyingine Zaidi ya ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?!!
He he he inaweza kuwa ulikuwa ni mpango wao wa muda mrefu tu.... Kwa mimi ninavyoona.
Mwenzio anapo fanya vizuri mpongeze, kama ilivyo kuwa rahisi kumkosoa.
Mwigulu Nchemba amejitahidi kudhibithi mishahara hewa kwa kiasi chake, hata watu wa SADC wanamjua vizuri tu.
KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.
Sina maana nyingine Zaidi ya ile.
Duhh, kweli Bongo wanasiasa tunawapa sifa za kijinga.

Kenyata mwenyewe hajui hata kama kuna mtu anaitwa Mwigulu
Ikiwa ni Wiki mbili tu zimepita tangu Mtoto wa Mfugaji Mwigulu Nchemba aamue kupambana na Upotevu wa Fedha za Umma kupitia Mishahara Hewa Nchini Tanzania na kuokoa zaidi ya Bilion 40 kwa mwezi,Hii leo Rais wa Kenya naye ameamua kutembea kwenye nyayo hizo hizo kwa kuutangazia Umma kuwa "KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa serikali kwa njia za kielektroniki katika jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa" wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara, imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu wanaendelea kulipwa mishahara licha ya kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha kazi.
Wakati hayo yakiendelea Nchini Kenya,Tayari Tanzania kupitia Mwanasiasa na Kiongozi Shupavu Mwigulu Nchemba imeshachukua hatua kwa kulipa Wafanyakazi wa umma mishahara yao Moja kwa Moja ilikubaini Mishahara hewa,Mbali na kulipa Moja kwa moja kwenye Account za watumishi,Pia mwigulu aliagiza Maafisa Utumishi wote kupitia Mafaili ya Watumishi na kutoa mrejesho kila mwezi kwa watumishi walioondoka kwenye Pay roll.
Kitendo cha Rais wa Kenya kuamua kuiga kutumia Mfumo huo,NI dhahiri Mwigulu Nchemba ni VISIONABLE LEADER kwa Nchi yetu na mwenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri na kutekeleza mambo kwa Maslahi ya Umma.
Wenye Kubeza watabeza kama Ada kwa sababu ndio Uwezo wao Umefikia hapo,Wenye kuona mbali watakubali Viongozi kama Mwigulu ni wakautiwa moyo na kupewa ushirikiano iliwaweze kulisaidia Taifa hili kwa hatua kubwa zaidi.
Hongera Mwigulu,Ongeza Juhudi kupigania Maslahi ya Watanzania Wanyonge na Masikini ambao wanaamini kwa sasa wamepata Kiongozi na kimbilio lao.
Hivi mshahara wa mwezi uliopita ulitokea wapi?