Sasa kwa taarifa yenu. Kulipa moja kwa moja kutoka hazina kupelekea waalimu walioacha kazi muda mrefu kujikuta wakinufaika. Rafiki yangu wa karibu kabisa alijikuta akicheka baada ya kutinga nmb na kukuta acc yake imetuna laki tano. Akaamua kuzitoa zote na kuhamishia acc yake bank nyingine. Na wengi walioacha kazi walianza kupigiana simu ingawa kiukweli sikusikia case ya mtu mwingine ila hii moja ni hakika.
Kudhibitisha ameokoa bil. 40 ngumu na ni uongo kwani malipo ya mwezi ya waalimu wote hayafiki bil. 40. So huu ni uzushi wa kitoto kabisa.
Pia ni wazi kuwa plan imefeli sababu wangeendelea na zoezi bali kurejesha mfumo wa kawaida ni kuonesha walishindwa.
Promo za kupika story ili uonekane umetake action ni njia iliyochelewa sana kumsafisha mtu ka mwigulu.