Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta.

Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi na kumiliki mali sawa na Mkenya mwingine.

Hakuna kuwaona watu wa immigration au kubughudhiwa kama hapa kwetu.

Kenya kweli ni kichwa cha EAC .

Pitia hapa kupata yaliyojiri kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta;
KASARANI, KENYA: Yaliyojiri Sherehe za kuapishwa Rais mteule, Uhuru Kenyatta na William Ruto
 
Kweli kabisa.hiyo in fursa kubwa sana
 
Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta.

Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi na kumiliki mali sawa na Mkenya mwingine.

Hakuna kuwaona watu wa immigration au kubughudhiwa kama hapa kwetu.

Kenya kweli ni kichwa cha EAC na sisi ni mkia wao.

Kenya wenyewe ajira haziwatoshi ndio mgogoro mkubwa hivyo Kenyata anatutega Kwa sababu anajua ajira kwake na ardhi hakuna so hakuna jipya jiongeze mleta mada....ni sawa na mtu Ana heka moja jangwa na mwngne Ana heka moja imejaa ndizi mbivu alafu anasema tukale ndizi mashamba yote wakati anajua lake ni jangwa halina ndizi
....ilo nalikataaa kwa asilimia 100%
 
No; hilo nalikataa kwa nguvu zote. Ni lazima kuwe na taratibu stahiki za kufuatwa kwa wageni wanaotaka kuingia na/au kuishi nchini kwetu. Suala la uraia na ardhi ni zito sio la kuachia kiholela.
 
Fursa nyingi tu. Siyo lazima ardhi Au kuajiriwa
 
Mjasiriamali si mfanya biashara tu au mwanzisha biashara ndogo. Jiongezeni maarifa kwa elimu ya ujasiriamali.
 
Kenya wenyewe ajira haziwatoshi ndio mgogoro mkubwa hivyo Kenyata anatutega Kwa sababu anajua ajira kwake na ardhi hakuna so hakuna jipya jiongeze mleta mada....ni sawa na mtu Ana heka moja jangwa na mwngne Ana heka moja imejaa ndizi mbivu alafu anasema tukale ndizi mashamba yote wakati anajua lake ni jangwa halina ndizi
Fikra za kimasikini kama za John hizi!!! Ninao jamaa zangu kibao tuu na elimu yetu ya Ngumbalo wanafanya Kazi Kenya
 
No; hilo nalikataa kwa nguvu zote. Ni lazima kuwe na taratibu stahiki za kufuatwa kwa wageni wanaotaka kuingia na/au kuishi nchini kwetu. Suala la uraia na ardhi ni zito sio la kuachia kiholela.
Hilo ni kwa Kenya wala hajawaomba ninyi!! So it's free ukitaka kwenda kuwekeza Kenya nenda kuhusu kwenu mtajijua na Laana zenu
 
Hii maana yake watanzania na wengine wana uhakika wa kuishi Kenya bila bughudha
 
strategically kuna faida na hasara mambo mengine si ya kukurupuka kutolea maamuzi kwa sababu mwingine kaanzisha
 
Back
Top Bottom