joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sawa, ngoja tusubiri tuone Kenya iwe Dubai ili watupunguzie gharama ya nauli kwenda Dubai. Si ni Kenya hii hii iliyokazania single tourist visas, tulipokataa wakatukashifu sana na kusema wanaendelea na Uganda, Rwanda, leo kikowapi?, wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, wakati pato la utalii la Tanzania ni sawa sawa na mapato ya nchi zote tatu kwa pamoja.Ardhi yenu ipi? Unaweza kuwa hata kiwanja huna unabaki ardhi yetu. Yeye hakusemea Tz kasemea Kenya free wewe funga ya kwako halafu utaona wawekezaji wataenda wapi. Mafanikion makubwa ya Dubai kuachia ardhi kwa wageni na nchi kidogo sana sasa nenda kaone boom ya real estate kwao ni asset kubwa.