Key rule of the game kwa regional integration, the strongest economic member ndiye atajayepata faida Kubwa na longterm one kwa hiyo sishangai kwa Kenya kuchampion swift integration kwani soko la bidhaa na huduma na rasilimali watu lake litazidi kuwa kubwa na uchumii wake utazidi kuwa imara, si rahisi kwa viwanda vya TZ kushindana na viwanda vya Kenya vilivyoimarika Muda mrefu.
Kwa upande wa ardhi majirani watu Wana shida kubwa ya ardhi na wanaimezea mate ardhi ya Tanzania.
kwa ajira pia wanajua itakuwa si rahisi kwa watu kutoka nchi nyingine za EA kupata kazi nzuri Kenya mifumo ya Elimu yao iko bora kuliko members wengine.
Wa TZ tuwe makini na cheap mitego