Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Fursa gani hizo? Wakenya kibao wanakimbilia TZ, hali ngumu kwao. Wenngi wameoa Bongo wamenunua mashamba, wamejenga na wanaishi kinyemela.Fursa nyingi tu. Siyo lazima ardhi Au kuajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa gani hizo? Wakenya kibao wanakimbilia TZ, hali ngumu kwao. Wenngi wameoa Bongo wamenunua mashamba, wamejenga na wanaishi kinyemela.Fursa nyingi tu. Siyo lazima ardhi Au kuajiriwa
Umenena mkuu...Tatzo wengi wanatafata mawazo ya Mgombea flan kisa tu anamuunga mkono Uhuru wanasahau Kua huyo Nae ni bussinessman na marafk zake wengi ni hao wapigaji (nionyeshe marafiki zako nikujue wewe ni nani) na sku zote bussinessman anaangalia faida na hana utu...Kama waTanzania tunashindwa kufumbua mtego mdogo kama huu wa Kenyatta basi ni wazi kuwa wengi wetu tuna IQ ndogo sana............
tz wanaunafiki kweli,kenyatta ametaja sera za kenya pekee,hajasema mkulu afungue mipakaMbona watanzania wengi wanaishi Kenya na sijawahi kusikia msako wa kuwarudisha.hii maana yake hawana Matatizo na jibu ni kuwa wanapendwa
hehehe nilihisi kila mtu anamiliki mashamba bongo😱Tuna ardhi kubwa sana lakini kila siku wafugaji na wakulima kukatana mapanga tu.
Anatualike tukaoe Kenya wakati anajua mabinti wote (ardhi yote) walishaolewa tayari (ardhi yote ina wamiliki tayari)Kama waTanzania tunashindwa kufumbua mtego mdogo kama huu wa Kenyatta basi ni wazi kuwa wengi wetu tuna IQ ndogo sana............
Ametega! Sera ya Kenya ardhi ni ya binafsi! Huwezi kukaribisha watu wengine kwenye Mali ya ya binafsi! Huo ni uongo! ametega! Lakini mtego huo hautanasa kitu!tz wanaunafiki kweli,kenyatta ametaja sera za kenya pekee,hajasema mkulu afungue mipaka
acha povu bwege weweAmetega! Sera ya Kenya ardhi ni ya binafsi! Huwezi kukaribisha watu wengine kwenye Mali ya ya binafsi! Huo ni uongo! ametega! Lakini mtego huo hautanasa kitu!
Mtego umeambulia patupu! Kuhusu ajira, na mambo mengine ya biashara sawa lakini kwa ardhi ni big noooooo!!!!acha povu bwege wewe
Mimi mkazi wa mpakani pia upande wa Kenya. Hawajui wanachosema hawa. Kauli yetu ni kuwa urais ni wa muda tu huyo JPM siku yake itafika na atarudi Chato. Sisi huku mipakani tutabaki na tutaishi kwa amani watz kwa wakenya kama ilivokuwa tangu jadi.Sisi watu wa mpakani tunajua umuhim wake....
90% ya biashara zote zinazofanywa ndani ya EAC zinafanywa na nchi gani kama sio Kenya na Tanzania?Mualiko wa rais Uhuru ni kwa warwanda waganda warundi na wasudi pia. Sijui mtego mnaosemea umewekwa unase watz ni mtego gani huo. Mnadhani Uhuru anafanya maamuzi akitizama tz? Tuna jirani wengi sana. Warwanda walishachangamkia fursa hata kabla ya mualiko wa rais. Wanachapa biashara za hela si mchezo. Kwetu Kajiado pale Kitengela warwanda wana kanisa lao kubwa sana. Kila nikifika home huwa naenda kushiriki kwenye kanisa lao. Yaani ukiona ma usher wa kukaribisha wageni, dada wa kinyarwanda yaani hata uwe muislam kusilimu utasilimu tu. Hehe wabongolala endeleeni kulala.
Ukialikwa na myu yeyote ule una haki ya kukataa. Wale ambao wana haja watachangamkia fursa. Warwanda wamesha changamkia. Akili ya mtz ni ya ajabu sana. Eti mtego. Shit you guys need education. Uhuru hajasema tz mkubalie wakenya pia. Wala sikuskia akitaja tz. Kama huna akili ya biashara bakia huko huko vijiweni ukiuza kahawa na kaimati.90% ya biashara zote zinazofanywa ndani ya EAC zinafanywa na nchi gani kama sio Kenya na Tanzania?
Wewe unaangalia sehemu ndongo ya hiyo kauli ya Kenyatta, hao wanyarwanda ulio wasema hakuna hata mmoja ana mtaji wa zaidi ya $100,000.Ukialikwa na myu yeyote ule una haki ya kukataa. Wale ambao wana haja watachangamkia fursa. Warwanda wamesha changamkia. Akili ya mtz ni ya ajabu sana. Eti mtego. Shit you guys need education. Uhuru hajasema tz mkubalie wakenya pia. Wala sikuskia akitaja tz. Kama huna akili ya biashara bakia huko huko vijiweni ukiuza kahawa na kaimati.