Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Mtu mwenye nyumba ya chumba kimoja na watoto kumi akimwambia jirani yake mwenye jumba la vyumba kumi na watoto watano kwamba mwenye vyumba kumi anakaribishwa kulala kwa mwenye chumba kimoja, nitamuona mwenye chumba kimoja anapiga mahesabu na yeye akaribishwe kwenye jumba la vyumba kumi.
Wakenya kwao mambo tight. Kuanzia ardhi mpaka ajira. Hiyo offer inatafuta reciprocation tu ili Wakenya wapate pa kuhemea.
This is a win win situation kwa Kenya.
Wakija wageni hawawezi ku compete kirahisi.
Jirani waki reciprocate, Wakenya ku hustle ni jadi yao hivyo wataitoa.
Win win situation, the icing on the cake is the appearance of benevolence while all along this has all the signs of Machiavellian machinations.
Watu wanatumia akili kuliko nguvu.
Huku Maguvumsuli anatumia nguvu kuliko akili.