Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Nimemsikia mheshimiwa Rais mwenye Akili Uhuru Mwigai Kenyata
Akisema:kwanzia leo Raia wa afrika mashariki atakuwa na haki kama mkenya,ataishi,kufanyakazi,kuwekeza na hata kuoa kwa kutumia Kitambulisho pekee.
Hii inaonyesha Rais huyu alivyo na upeo wa mbali na roho ya utu na pia upendo wa watu wa afrika mashari.
Hahahaha.
 
Sawa, ngoja tusubiri tuone Kenya iwe Dubai ili watupunguzie gharama ya nauli kwenda Dubai. Si ni Kenya hii hii iliyokazania single tourist visas, tulipokataa wakatukashifu sana na kusema wanaendelea na Uganda, Rwanda, leo kikowapi?, wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, wakati pato la utalii la Tanzania ni sawa sawa na mapato ya nchi zote tatu kwa pamoja.
Kenya ni sawa na unga wa mahindi
Tanzania ni sawa na unga wa ngano

Kwa iyo matumizi ya unga wa mahindi ni ugali ambao utaitaji mboga
Lakini unga wa ngano una matumizi mengi unaweza ukapika chakula chochote unachotaka na ukala bila mboga
Naikubali Tanzania sana, ambao hawajasafiri kwenda nchi za kibepari wanajua kwamba mataifa ya kibepari yana raha sana kumbe kuna karaha sanaaaa
 
kiukweli, wakenya wako vizuri kwenye customer care.....
 
Hivi umemsikiliza Kenyatta?amesema sera hiyo haijali kama nchi nyingine itafanya nini maana yake hata Tanzania ikiendelea kuwakatisha work permit Wakenya hapa Tanzania lakini Watanzania Kenya watafanya kazi, watafanya biashara na kuanzisha viwanda bila hizo bughudha.

Hatari yake matajiri wengi wataopt kubase Kenya ukizingatia utawala wao wa kisheria upo stable hivyo mali zao zitakuwa salama zaidi Kenya kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki na Kati.
Atakae kwenda Kenya kuwekeza atakuwa kapoteza pesa zake. Sehemu ambayo aina usalama hakuna Tajiri mwenye pesa ya mchezo wa kwenda kuwekeza pale. Mpaka sasa kisiasa pamekaa vibaya sana na ndio maana Bomba la mafuta walikataa lisipite kwa sababu ya usalama
 
Mkuu wakenya ni mabepari pure watatunyonya sana sisi wajamaa.
 
Atakae kwenda Kenya kuwekeza atakuwa kapoteza pesa zake. Sehemu ambayo aina usalama hakuna Tajiri mwenye pesa ya mchezo wa kwenda kuwekeza pale. Mpaka sasa kisiasa pamekaa vibaya sana na ndio maana Bomba la mafuta walikataa lisipite kwa sababu ya usalama
Na wewe kweli unachangia mada kweli,hii aibu kubwa sana wewe kuitwa mtanzania
 
Jenga hoja acha stress Kenya ukawekeze wapi???unaijua kenya au unakunywa balimi unasema ukawekeze...uskae nyuma ya keyboard na kutype upuuzi....?hivi unajua ata matajiri wa Kenya wamekosa fursa pale wamekmbilia south sudan acha kuropoka ujinga usioujua....huyo Kenyata unayemshabikia na Kina Nyayo... Biwot n Co wameshka kila sector usropoke ujinga kwa usivyovijua tembea uone na fanya utafti kabla haujatype[/QUOTE
Wewe nae upofu wako wa kutoweza kuona fursa usidhani ni kila mtu. Acha wenye upeo wa kuona fursa wakawekeze na usijifanye kujua sana na kufikiri kwa niaba yao. Tatizo umekariri kuwa uwekezaji ni katika ardhi tu, acha mawazo mgando.
 
Na wewe kweli unachangia mada kweli,hii aibu kubwa sana wewe kuitwa mtanzania
Mkuu hawa ndio wenye mawazo hasi ya unyonge unyonge tu, nachukia sana watu wanaodhani kuwa kwa kutoweza kwao basi kila mmoja hawezi.
 
Watanzania hebu tuwe tunafikiria jambo na kauli zingine hata kama tumedata na maisha ila vitu vingine tuwe na uwezo wa kuvidadavua ndio kama kenya wenyewe wanapigana kila cku ukabila na makabila hayafiki hata 20 na wewe ujitoe kwachakwacha msukuma wa chato eti unaenda kutafuta fulsa hzo fursa wenyewe hawazioni kama unataka kuwekeza na una mtaji kimekushinda kuwekeza nn tanzania wakati haikuhitaji gharama kubwa ya umiliki wa ardhi kama kenya huyo katoa fursa kwenda kugegedana mombasa na kuzaliana ila cyo kuwekeza wengi humu tunajifanya tuko vzr kumbe hamna kitu tumejificha kwenye mashina ya mipilipili hela tu ya kujengea huna hiyo ya uwekezaji ukaitoe wapi au unataka ukapange mitumba barabarani ndio fursa kama mjini kugumu rudi kijijini kuna mashamba ya ukoo kalime mbafu thana
 
Hivi wale ma dokta waliajiriwa kutoka Tanzania? Ni nini kilifanikisha kuajiriwa ama ni nini kilifanya wasiajiriwe?
 
Back
Top Bottom