Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Great move! what a genius Uhuru! hawa wakenya wana akili sana wenzetu! sisi bado tutabakia kusema tuna utajiri sana kila kukicha halafu tunakula mavi ya kuku na pumba! we need to cling on with the current pace! Well done Kenyans!
 
Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta.

Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi na kumiliki mali sawa na Mkenya mwingine.

Hakuna kuwaona watu wa immigration au kubughudhiwa kama hapa kwetu.

Kenya kweli ni kichwa cha EAC na sisi ni mkia wao.
fe6d037482586d8a5e4e0dd982121cc6.jpg
 
Sisi ni Lazima tulinde Mipaka yetu na Ardhi yetu kwa Cost yoyote hatuwezi kuruhusu upuuzi kama huo Wa UHURU mana tunajua fika anatutega tu na sisi turuhusu hio Asahau kabisa, Bado hatuna Enough skills na knowledge ya Kushindana na Soko la EA Kiuhalisia. Kwanza hio sera yake nauhakika 100℅ Haitakuwa endelevu kuna kitu anatazamia mbele, Tz tunamaeneo makubwa wala hatuhitaji kwenda nje ya apa, Kenya kumejaa ukabila huko je wageni mtawapenda ?
 
Kila mmoja abaki na mali zake na ardhi na uwekezaji ni jambo lingine kabisa
 
Mbona watanzania wengi wanaishi Kenya na sijawahi kusikia msako wa kuwarudisha.hii maana yake hawana Matatizo na jibu ni kuwa wanapendwa
 
Kumbuka wew ukifungua milango ya ajira mtaishia kuwa mabek tatu wa wakenya, io ina faida kwao lakini tukijaribu kwetu ni hasara
 
Magu amemwangusha Mwalimu Nyerere kweli. Tanzania ya Mwalimu Kinara wa umoja wa Afrika.
 
Sisi ni Lazima tulinde Mipaka yetu na Ardhi yetu kwa Cost yoyote hatuwezi kuruhusu upuuzi kama huo Wa UHURU mana tunajua fika anatutega tu na sisi turuhusu hio Asahau kabisa, Bado hatuna Enough skills na knowledge ya Kushindana na Soko la EA Kiuhalisia. Kwanza hio sera yake nauhakika 100℅ Haitakuwa endelevu kuna kitu anatazamia mbele, Tz tunamaeneo makubwa wala hatuhitaji kwenda nje ya apa, Kenya kumejaa ukabila huko je wageni mtawapenda ?
Usipende kuingiza neno hatu Kwa mawazo yako ukawasemea wengine. Jifunze kutambua nafsi ya wengine kwa kila jambo
 
Kenya ardhi yote inamilikiwa na matajiri wakubwa hawana ardhi wanataka tuingie kingi waje kupora ardhi yetu
Ardhi yenu ipi? Unaweza kuwa hata kiwanja huna unabaki ardhi yetu. Yeye hakusemea Tz kasemea Kenya free wewe funga ya kwako halafu utaona wawekezaji wataenda wapi. Mafanikion makubwa ya Dubai kuachia ardhi kwa wageni na nchi kidogo sana sasa nenda kaone boom ya real estate kwao ni asset kubwa.
 
Hilo ni kwa Kenya wala hajawaomba ninyi!! So it's free ukitaka kwenda kuwekeza Kenya nenda kuhusu kwenu mtajijua na Laana zenu
Kuna watu kweli wa ajabu sana. Yeye kafungua milango ya Kenya hajasema kuna sharti na yeye afunguliwe. Ni sera zake na utaona faida. Sisi kuna watu watabaki ardhi yetu utasema wanamiliki hata kibanda
 
Hilo ni kwa Kenya wala hajawaomba ninyi!! So it's free ukitaka kwenda kuwekeza Kenya nenda kuhusu kwenu mtajijua na Laana zenu
Nilikuwa namjibu mleta mada aliyeshauri tuwaige Kenya. Sio kila kitu cha kuiga.
 
Back
Top Bottom