Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Acheni ushamba!! Mwenzenu hajataka hizo 50/50 zenu kawaambieni mkawekeze mkitaka mkachume mali bila kuingiliwa wala hajawaomba mfanye kama afanyavyo yeye chagua moja kusuka au kunyoa....Fanya utafiti utajua hao jamaa zako ni wangap ukilinganisha na Watanzania 50m? ushawahi kujiuliza soko likiwa huru win win situation itakuwaje...kuna mambo mengne si lazma tuandke apa cz kuna hao wenzetu wa Kenya apa lakini ni big No Tanzania isikubali huo mtego kwa taarifa yako East Africa nzima fursa 90% zpo Tanzania pekee