Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

Uhuru Muigai Kenyatta afungua soko la ajira na uwekezaji kwetu, sisi bado kikwazo!

IMG-20171128-WA0030.jpg
IMG-20171128-WA0028.jpg
IMG-20171128-WA0030.jpg
IMG-20171128-WA0022.jpg
IMG-20171128-WA0020.jpg
 
Wewe huna unalojua kuhusu Dubai usipige kelele, salichofanya Dubai, ndicho wanachofanya Zanzibar kuhusu umiliki wa ardhi, kwanini Zanzibar haibadiliki?, Dubai ukitaka ardhi kuwekeza, lazima uwe na kishika uchumba sio chini ya dola nusu bilioni, unaweka kama dhamana ya uwekezaji, usije ukachukua ardhi ukageuka kuwa tapeli, na Zanziba wanatofautiana na kiwango cha fedha, lakini sera ni hiyohiyo, huku kuachia tu kila mtu aingie kiholela hakuna tija yoyote ile, wenye pesa hata leo wanakaribishwa
Wewe acha hayo maneno kama unaongea katika mkutano wa kampeni. Nusu billion dhamana? Kwa taarifa yako tumetoka kununua appart Ajman ni laki 7 DH ni kama dola laki 2 na unamiliki mali yako. Walichofanya hivi sasa ili upate visa kwa dhamana ya nyumba yako iwe na thamani ya Million 1 DH plus. Angalia spain nini kinavutia watu kuhamia kwao. Land na properties
 
Fanya utafiti utajua hao jamaa zako ni wangap ukilinganisha na Watanzania 50m? ushawahi kujiuliza soko likiwa huru win win situation itakuwaje...kuna mambo mengne si lazma tuandke apa cz kuna hao wenzetu wa Kenya apa lakini ni big No Tanzania isikubali huo mtego kwa taarifa yako East Africa nzima fursa 90% zpo Tanzania pekee
Fursa za clouds na Ruge au?
 
Wewe acha hayo maneno kama unaongea katika mkutano wa kampeni. Nusu billion dhamana? Kwa taarifa yako tumetoka kununua appart Ajman ni laki 7 DH ni kama dola laki 2 na unamiliki mali yako. Walichofanya hivi sasa ili upate visa kwa dhamana ya nyumba yako iwe na thamani ya Million 1 DH plus. Angalia spain nini kinavutia watu kuhamia kwao. Land na properties
Wewe unazungumzia uwekezaji au kununua nyumba? Zanzibar hapo nenda kuna ardhi ipo kwa ajili ya uwekezaji, ili wakutambue kama wewe ni muwekezaji toka nje, lazima uingize Bank $10M, hiyo ni hapo Zanzibar sio mbali, ndiyo wakupe ardhi ya kuwekeza, sio habari ya kununua nyumba.
 
Tuna ardhi kubwa sana lakini kila siku wafugaji na wakulima kukatana mapanga tu.
 
Huku kwetu Law School Of Tanzania tu hairuhusu wanafunzi wageni kusoma pale hata kama wamesomea Degree yao ya Law katika vyuo vyetu.
 
Wewe unazungumzia uwekezaji au kununua nyumba? Zanzibar hapo nenda kuna ardhi ipo kwa ajili ya uwekezaji, ili wakutambue kama wewe ni muwekezaji toka nje, lazima uingize Bank $10M, hiyo ni hapo Zanzibar sio mbali, ndiyo wakupe ardhi ya kuwekeza, sio habari ya kununua nyumba.
Uhuru kasema nunua property fanya kazi na km unataka kuowa shauri yako biashara shauri yako hakusema specific uwekezaji. Now huko unakosema Dubai siku 2 tu unafungua biashara hakuna wewe nani umetoka wapi. Mimi nasema kwa hali halisi sitaki kusema nafanya nini nikawa kama kujikweza.
 
Kwa akili hizi ndio maana tuliweza kutawaliwa bila kujua walifanikiwa vipi wakoloni kututawala.

Kenya is saturated.

Kenyatta anaweka mtego ili wajinga wa aina yako aweze kuwakamata!
Ni kweli. Wakoloni na Warabu walituletea shanga na vikoi wao wakachukua ardhi, madini na maliasili zingine.

Suala la ardhi ni muhimu sana serikali ikalisimamia. Tukishabinafsisha ardhi tumekwisha. Hiyo ndio safety net ya Watanzania wengi maskini.

Ndio maana sasa ninawaogopa sana CHADEMA baada ya kuja hadharani na kujitangaza kuwa wataleta sera za KIBEPARI wakishika dola. Cha kwanza watakachokifanya ni kuuza ardhi kama mali binafsi.
 
mnawaza kuibiwa tu hakuna anayewaza kifursa
Watu wa ajabu sana. Mwizi anaona kila mtu mwizi. Ndio maana makampuni yote sehemu ya pesa wanaleta wageni hata wanaiba basi kwa akili sisi utafilisi na mtaji.
 
Magu amemwangusha Mwalimu Nyerere kweli. Tanzania ya Mwalimu Kinara wa umoja wa Afrika.
Umoja tunaweza kuwa nao pale penye uwiano. Bado tunaweza kuwa na umoja lakini sio kwa kila kitu.

Kenya ardhi yote imehodhiwa na watu wachache binafsi. Wakenya wengi hawana ardhi. Tanzania wananchi wake wote wanaweza kupata ardhi kama wanaihitaji, mfano kupitia vijijini. Hii ndio insurance ya wanyonge wengi TZ. Ardhi ikiwa mali binafsi wanyonge TZ watakuwa hawana pa kukimbilia.

Kushirikiana sio kwa kila kitu. Nikishirikiana na wewe haina maana twaweza kushirikiana wake zetu.
 
Uhuru kasema nunua property fanya kazi na km unataka kuowa shauri yako biashara shauri yako hakusema specific uwekezaji. Now huko unakosema Dubai siku 2 tu unafungua biashara hakuna wewe nani umetoka wapi. Mimi nasema kwa hali halisi sitaki kusema nafanya nini nikawa kama kujikweza.
Wewe unageuza mada angani, mwanzoni ulisema Dubai imeendelea kwa sababu ya kuruhusu watu kuwekeza, unajua maana ya kuwekeza?, ni tofauti kabisa na kuruhusu watu kuja kukaa free, alichofanya Uhuru ni kuwaruhusu watu kuingia na kuishi free, huko siko kuwekeza hata kidogo, muwekezaji ni lazima awe na mtaji na ujuzi wa kutumia mtaji wake kuzalisha mali na ajira, walioindeleza Dubai, sio hao unaowasema wewe waliokwenda kununua nyumba na kufungua duka, ni watu ambao waliowengi wala hawaishi Dubai, wapo Europe na Amerika, lakini vitega uchumi vyao ndiyo vipo Dubai, nenda Mombasa au Zanzibar ukaangalie uwekezaji mkubwa katika sector ya utalii, hakuna hata muwekezaji mmoja kati ya wale wenye mahotell anayekaa Zanzibar au Mombasa
 
Hivi umemsikiliza Kenyatta?amesema sera hiyo haijali kama nchi nyingine itafanya nini maana yake hata Tanzania ikiendelea kuwakatisha work permit Wakenya hapa Tanzania lakini Watanzania Kenya watafanya kazi, watafanya biashara na kuanzisha viwanda bila hizo bughudha.

Hatari yake matajiri wengi wataopt kubase Kenya ukizingatia utawala wao wa kisheria upo stable hivyo mali zao zitakuwa salama zaidi Kenya kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki na Kati.
Acha ulimbukeni wewe, unaijua Kenya hadi useme kuna utawala wa sheria zaidi ya Tz? Impunity Kenya ndio habari ya mjini. Kuhusu stability hilo halina hata ubishi, kwa Africa Mashariki na Kati, Tz ndio inaongoza kuwa nchi stable kisiasa na kiuchumi.
 
Matusi makubwa kwa Magu. Pan Africanism oyee.
Huyu jamaa anajua kutukana kisomi sijapata ona..

Hivi unajua ukimtenda mtu ubaya akakujibu wema anakuumbua sana?

Uhuru hata kama ana mapungufu kwangu atasimama kama kiongozi bora wa kiafrika katika karne hii!
 
Mimi nimesoma na hao jamaa waKenya hawajawahi kumpenda mTZ hata siku moja. Yaani hata kwenye mitihani wanagawa maksi kwa upendeleo kwa Wakenya wenzao.
 
Huyu jamaa anajua kutukana kisomi sijapata ona..

Hivi unajua ukimtenda mtu ubaya akakujibu wema anakuumbua sana?

Uhuru hata kama ana mapungufu kwangu atasimama kama kiongozi bora wa kiafrika katika karne hii!
Kule Uganda, kuna wengi tu wanaomuona IDD Amin kuwa shujaa wa dunia, Ujerumani, kuna wengi wanaomuona Hittler kama ndiyo mtu wa kumiga japo dunia nzima ina mlaani, kule Afrika kusini, bado kuna watu wanauchukulia utawa wa makaburu kwamba ulikuwa bora zaidi, japo UNO uliutangaza kuwa utawala dhalimu kuwahi kutokea, hiyo ndiyo dunia, unayo haki na uwezo wa kufikiria vyovyote na kumuona yeyote vile upendavyo, lakini haina maana upo sahihi.
 
Hivi wale mdk wa Tanzania waliajiriwa Kenya? ama ilikuwa kuwatumia tu ktk namna fulani? ambayo inaweza kuwa replication hapa kwa mara nyingine.
Ile ya ma dokta utumike kama study case.
 
Fikra za kimasikini kama za John hizi!!! Ninao jamaa zangu kibao tuu na elimu yetu ya Ngumbalo wanafanya Kazi Kenya

Nenda mwenyewe. Unaweka general conclusion kwenye major ya uongo. Wakenya wapo kibao wanahitaji Ajira na mazingira Bora. Mkikuyu na mjaluo hawapikiki. We upo hapa unaleta zako. Kila mtu apambane na hali yake we Nenda
 
Back
Top Bottom