Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta.
Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi na kumiliki mali sawa na Mkenya mwingine.
Hakuna kuwaona watu wa immigration au kubughudhiwa kama hapa kwetu.
Kenya kweli ni kichwa cha EAC na sisi ni mkia wao.
Rwanda wakitangaza hivyo hiyo itakuwa fursa kwangu ya kwenda kuoa Mwanamke wa kinyarwandaKweli kabisa.hiyo in fursa kubwa sana
Fikra za kimasikini kama za John hizi!!! Ninao jamaa zangu kibao tuu na elimu yetu ya Ngumbalo wanafanya Kazi KenyaKenya wenyewe ajira haziwatoshi ndio mgogoro mkubwa hivyo Kenyata anatutega Kwa sababu anajua ajira kwake na ardhi hakuna so hakuna jipya jiongeze mleta mada....ni sawa na mtu Ana heka moja jangwa na mwngne Ana heka moja imejaa ndizi mbivu alafu anasema tukale ndizi mashamba yote wakati anajua lake ni jangwa halina ndizi
Hamia huko kichwani na sio kukaa mkiani huku unalia lia....Kenya kweli ni kichwa cha EAC na sisi ni mkia wao.
Hilo ni kwa Kenya wala hajawaomba ninyi!! So it's free ukitaka kwenda kuwekeza Kenya nenda kuhusu kwenu mtajijua na Laana zenuNo; hilo nalikataa kwa nguvu zote. Ni lazima kuwe na taratibu stahiki za kufuatwa kwa wageni wanaotaka kuingia na/au kuishi nchini kwetu. Suala la uraia na ardhi ni zito sio la kuachia kiholela.
Rwanda upo hivyo hakuna ubabaishaji mambo ya work permit hamna ukiingia ukipata kazi unapiga tu Kama bongo ishu Ni salary Yao ndogoRwanda wakitangaza hivyo hiyo itakuwa fursa kwangu ya kwenda kuoa Mwanamke wa kinyarwanda
Well SaidKenya ardhi yote inamilikiwa na matajiri wakubwa hawana ardhi wanataka tuingie kingi waje kupora ardhi yetu
Kenya ardhi yote inamilikiwa na matajiri wakubwa hawana ardhi wanataka tuingie kingi waje kupora ardhi yetu