Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Hemu weka chanzo cha taarifa, au nyie wakenya mnapika hizo taarifa tu..... pia tatizo sio chanzo tu. Je wananchi wa kenya wanapata social services au bado wanakula msoto huko kibera ..Pato la jiji moja tu sawa na pato la Taifa zima la Tanzania.
Unatia huruma.Hujapona bado?
Jinai kuweka takwimu hadharani.Tumalize ya IMF kwanza.Hemu weka chanzo cha taarifa, au nyie wakenya mnapika hizo taarifa tu..... pia tatizo sio chanzo tu. Je wananchi wa kenya wanapata social services au bado wanakula msoto huko kibera ..
Slum moja tu Kenya(kibela) sawa sawa na unplaned areas zote za RW,BUR,TZ na UG combined [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pato la jiji moja tu sawa na pato la Taifa zima la Tanzania.
ita..., ita..., ita...... maneno mengi ila hamna kituPorojo uache, mradi upi umekwama?awamu ya pili imeshaanza pesa ya mkopo tunajenga km 700km jumla kwa sasa...reli itafika mwanza kabla ya 2025 ,umbali 1219km itafika Kigali kutokea Isaka 400km na itaenda kigoma kutokea Tabora 440km infact hamtaweza huo mtandao ni mrefu sana na ukumbuke itatumia umeme pamoja na diesel...stiglers gorge inaisha tena kabla reli haijafika mwanza au zaweza fika sambamba
Nyie mikopo mingi bado mnavurunda ,aibu mbayaita..., ita..., ita...... maneno mengi ila hamna kitu
Kuna picha inayoweza cover 10km? Ujenzi umeshafika 48% ujenzi wa tuta zaidi ya 70% ....hautakiwi kuamini kabisa haya unayosikiatuusan hebu tuonyeshe hata km10 za hiyo sgr yenu ambayo imekwamia kibaha.
Wameenda kumalizia dili la kuuza bandari ya MBA alafu kenge moja anaona ufahariWafanyabiashara wakubwa wa Kenya kwenda China
sio siri hamna kitu, usijipe sana matumaini pasipo na matumaini aina yoyote. endelea kuimba wimbo wa "November tunapokea awamu ya kwanza". mda unazidi kuyoyoma
Lini yalifanyika?Nyie mnayafanya Leo sisi tulishayafanya kipindi cha JK na hayakuwa na msaada wowote kwa wananchi asiye mwanasiasa.
Uhuru na familia asilimia kubwa ya ardhi ya kenya wameikamata hku wakenya wa kawaida kama wakina MK254 wamebakia watupu.....wnangangania sheria ipitishwe EAC upande wa ardhi waweze miliki ardhi tzKweli kabisa..... Makenya majinga kweli, kazi kupiga makelele.... walio kamata uchumi + kufaidi matunda ya nchi yao ni wageni.. maghorofa mengi Nairobi yanamililiwa na wageni,
Tanzania tupo vizuri sana.
Wewe unateseka nn wenu mlishapuyanga sasa unaombea huu usiishe ili ikusaidie nn?sio siri hamna kitu, usijipe sana matumaini pasipo na matumaini aina yoyote. endelea kuimba wimbo wa "November tunapokea awamu ya kwanza". mda unazidi kuyoyoma
Pesa za ndani zipi hizo? Acheni kudanganya watu, kila siku deni la taifa linazidi kupaa kwa spidi kubwa mnakuja na hadithi zenu. Kila siku anakopa na hataki watu wajue!!Kenya pesa mnazokusanya mnazifanyia nn?hv maana ya kua lower middle income country ni ipi?
Mnamsema JPM ambae amethubutu kuanza kipande cha 200+km kwa pesa za ndani...serikali ya ldc imeweza kutoa $1.215Bn nyie mnashindwa nn???Mkiitwa wapumbavu mnakasirika kitu gani..
Iyo awamu ya kwanza alikopa wapi? ...Pesa za ndani zipi hizo? Acheni kudanganya watu, kila siku deni la taifa linazidi kupaa kwa spidi kubwa mnakuja na hadithi zenu. Kila siku anakopa na hataki watu wajue!!