Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

Pato la jiji moja tu sawa na pato la Taifa zima la Tanzania.
Hemu weka chanzo cha taarifa, au nyie wakenya mnapika hizo taarifa tu..... pia tatizo sio chanzo tu. Je wananchi wa kenya wanapata social services au bado wanakula msoto huko kibera ..
 
Hemu weka chanzo cha taarifa, au nyie wakenya mnapika hizo taarifa tu..... pia tatizo sio chanzo tu. Je wananchi wa kenya wanapata social services au bado wanakula msoto huko kibera ..
Jinai kuweka takwimu hadharani.Tumalize ya IMF kwanza.
 
Porojo uache, mradi upi umekwama?awamu ya pili imeshaanza pesa ya mkopo tunajenga km 700km jumla kwa sasa...reli itafika mwanza kabla ya 2025 ,umbali 1219km itafika Kigali kutokea Isaka 400km na itaenda kigoma kutokea Tabora 440km infact hamtaweza huo mtandao ni mrefu sana na ukumbuke itatumia umeme pamoja na diesel...stiglers gorge inaisha tena kabla reli haijafika mwanza au zaweza fika sambamba
ita..., ita..., ita...... maneno mengi ila hamna kitu
 
Kweli kabisa..... Makenya majinga kweli, kazi kupiga makelele.... walio kamata uchumi + kufaidi matunda ya nchi yao ni wageni.. maghorofa mengi Nairobi yanamililiwa na wageni,

Tanzania tupo vizuri sana.
Uhuru na familia asilimia kubwa ya ardhi ya kenya wameikamata hku wakenya wa kawaida kama wakina MK254 wamebakia watupu.....wnangangania sheria ipitishwe EAC upande wa ardhi waweze miliki ardhi tz

Ova
 
sio siri hamna kitu, usijipe sana matumaini pasipo na matumaini aina yoyote. endelea kuimba wimbo wa "November tunapokea awamu ya kwanza". mda unazidi kuyoyoma
Wewe unateseka nn wenu mlishapuyanga sasa unaombea huu usiishe ili ikusaidie nn?
Ujenzi uko 48% Leo unaweza tembelea @TRCTV any time you tube for more info n updates
 
Good leadership,
When it comes to matters development it doesn't matter which political divide you come from... Kenya Yazidi kusonga mbele
 
Kenya pesa mnazokusanya mnazifanyia nn?hv maana ya kua lower middle income country ni ipi?
Mnamsema JPM ambae amethubutu kuanza kipande cha 200+km kwa pesa za ndani...serikali ya ldc imeweza kutoa $1.215Bn nyie mnashindwa nn???Mkiitwa wapumbavu mnakasirika kitu gani..
Pesa za ndani zipi hizo? Acheni kudanganya watu, kila siku deni la taifa linazidi kupaa kwa spidi kubwa mnakuja na hadithi zenu. Kila siku anakopa na hataki watu wajue!!
 
Pesa za ndani zipi hizo? Acheni kudanganya watu, kila siku deni la taifa linazidi kupaa kwa spidi kubwa mnakuja na hadithi zenu. Kila siku anakopa na hataki watu wajue!!
Iyo awamu ya kwanza alikopa wapi? ...
Tupe Habari. ..
Deni la taifa kupaa ni kawaida ni lini liliwahi kushuka? Mikopo yote husemwa tatizo lako umekuja kichwa kichwa mno

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom