Uhuru na Raila waanza majadiliano kimya ya jinsi ya kugawana

Umerudia rudia hiyo kauli potofu, jameni sio Wakikuyu pekee wenye maamuzi ya nani atawale nchi.
Sawa majibu utayapata by 2020 ndio utawajua wakikuyu ni watu wa aina gani..... Hawawezi kukubali kutawaliwa na kabila lengine sawa na watutsi rwanda au wanyankole uganda.

Narudia tena ruto hatowahi kuwa rais wa kenya tutaufufua huu uzi ifikapo 2020 tukiwa hai inshallah
 
Kang'ura mshenzi unaambia mkikuyu angoje 2020 ndo atajua wakikuyu ni watu wa aina gani? Hivi huwa unajihisi vipi unaporaukia mbege usubuhi usubuhi? Afu uchaguzi Kenya utakuwa 2022 si 2020, nenda ukanywe maziwa ya Brookside kijana.
 
Bado nasisitiza Wakikuyu wao kam wao hawana uwezo wa kuamua nani awatawale, hata ikitokea wambadilishie Ruto na kama Wakenya wengine watampenda, bado atatawala tu. Kabila moja haiwezi kuamua, kumbuka Wakikuyu walimkatalia Moi kwa miaka 24 na akawatala na kutawala nchi yote.

Kutawala nchi unafaa utie bidii ya kuungwa mkono na watu wote, sio kama afanyavyo Raila ambapo yeye huchonganisha na kuigawa nchi.
 
Haaahaaaa najua sana si ndio maana wanamtumia Ruto kupata kura za rift valley kma wamgekuwa wanatosha wasingeweza kuungana na mtu aliyewachinja Wakikuyu kma kuku

Kwa ufupi wako radhi washirikiane na wakalenjin wa gideon Moi kuliko huyo ruto kibaraka wenu
Sawa Kikuyu spokesman.
 
Ssa 2020 wakikuyu watakubali kuongozwa na mkalenjin?? Hvi unawajua wakikuyu unawasikia ...... Moi aliongoza sababu ya order ya mzee jomo ila kma jomo angekufa kabla hajamkaimisha mzee moi angeusikia urais kwenye redio tu

Narudia Tena kma wakikuyu wako radhi waongozwe na mkalenjin basi atakuwa mwingine lets say gideon moi kuliko huyo Ruto bado hawajasahau alivyowachinja makanisani so urais atausikia kwenye bomba ....... Najua nachokisema
Sasa hivi Ruto amekataa kulindwa na Recce squad anatumia Prison police. Reason being mistrust towards Kikuyu dominated Recce unit.
tukumbushane 2020
Hahahaha another Tanzanian expert analyst on Kikuyu/Kenyan politics (Obsessed about Kenya).
 
Kuna ule wimbo wa wale waganda watatu Blu3, 'Obsession' sijui kwanini haunitoki akilini.
Wimbo huo Jangu niliupenda sana nikiwa kule kabalagala unanikumbusha wabongo analysts wa kila kiti Kenya, but let them enjoy it while it lasts, uchaguzi umeisha sasa ni back to business yani kupepea kiuchumi hadi tuzipiku nch za bara ulaya.
 
Ukitaka uifurahie siasa kuwa mnafiki.
Ukijifanya mfia chama jiandae kwenda zimbabwe.
Wanaopewa posho wanandimi mbili ,sembuse wewe.
Ukiambiwa twende ukifika mbele sema ngoja nifuate Rungu,ukienda usirudi.
Siasa ni mchezo mchafu,
Pambana kujenga uchumi wako na maisha yako.
Time Will Decide
 
Kang'ura mshenzi unaambia mkikuyu angoje 2020 ndo atajua wakikuyu ni watu wa aina gani? Hivi huwa unajihisi vipi unaporaukia mbege usubuhi usubuhi? Afu uchaguzi Kenya utakuwa 2022 si 2020, nenda ukanywe maziwa ya Brookside kijana.
Najua sana upo 2022 kwa katiba yenu ila by 2020 utakuwa ushaona upepo.....subiri utakuja niambia hao wakikuyu watakapokua wamemtimua serikalini
 
Hahahaha another Tanzanian expert analyst on Kikuyu/Kenyan politics (Obsessed about Kenya).
Nimezaliwa nimesoma na kuishi kenya almost half of my life.....baba angu alisomea huko toka akiwa kijana mdogo na nina ndugu wengi tu huko ssa naachaje kuongelea mambo ya kenya????
 
Wimbo huo Jangu niliupenda sana nikiwa kule kabalagala unanikumbusha wabongo analysts wa kila kiti Kenya, but let them enjoy it while it lasts, uchaguzi umeisha sasa ni back to business yani kupepea kiuchumi hadi tuzipiku nch za bara ulaya.
Back to business gani linchi lenu linaongoza kwa ufisadi afrika..... Mnaringia ushenzi tu wakati nmekaa kenya maskini kibao wa kutupwa.... Maslums yenu kule kibra na mathare hta Tz hayajawahi kuwepo afu mnakuja kushabikia ushenzi.....
 
Nimekuambia uwache kufuata uwezo wa kuwa rais wa Kenya kwa kuangalia Wakikuyu tu, maana hata wajitokeze hadi wa mwisho, hawana uwezo huo na Moi alitawala miaka 24 bila kutegemea kura zao.

Ruto amefikia hapo na kunyanyua biblia na kuapishwa kama naibu wa rais kwa ujanja wake na sio jitihada za Wakikuyu. Kumbuka hata Moi alijaribu sana kumkwamisha. Kenya lazima tujiandae kwa urais wake.
Nafasi ya umakamu wa rais inategemea sana na namna gani mgombea urais anaungwa mkono..... Ukikubalika na kupitishwa nadani ya chama kama mgombea mwenza hata kama ww ni wa hovyo kikubwa ni mgombea uraisi akubalike na ww unaponea humohumo
 
Kaka siasa za Kenya ni toafuti sana, kwetu huyo anaitwa mgmbea mwenza, hivyo lazima naye awe na uwezo wa kushawishi la sivyo mtashindwa nyote.
 
Nimezaliwa nimesoma na kuishi kenya almost half of my life.....baba angu alisomea huko toka akiwa kijana mdogo na nina ndugu wengi tu huko ssa naachaje kuongelea mambo ya kenya????
Kumbe tulikulisha, tukakusomesha tena hadi na babako na ndugu zako hadi sasa hivi wanashiba kwa hisani yetu? Yaani ulivo sasa hivi ni kwasababu ya Kenya? Afu unakuja na matusi dhidi ya babako Kenya. Kweli roho mbaya mlibarikiwa nazo watz. Tumezoea wakenya, huwa hatungoji shukran kutoka kwa wakimbizi.
 
Back to business gani linchi lenu linaongoza kwa ufisadi afrika..... Mnaringia ushenzi tu wakati nmekaa kenya maskini kibao wa kutupwa.... Maslums yenu kule kibra na mathare hta Tz hayajawahi kuwepo afu mnakuja kushabikia ushenzi.....
Mbona ufisadi na umaskini na slums na kuringa kwa wakenya kunakuwasha hivi mpaka povu linakutoka? Pilipili usioila yakuwashia nini? Wachana na umaskini wetu shughulika na utajiri wenu.
 
Kumbe tulikulisha, tukakusomesha tena hadi na babako na ndugu zako hadi sasa hivi wanashiba kwa hisani yetu? Yaani ulivo sasa hivi ni kwasababu ya Kenya? Afu unakuja na matusi dhidi ya babako Kenya. Kweli roho mbaya mlibarikiwa nazo watz. Tumezoea wakenya, huwa hatungoji shukran kutoka kwa wakimbizi.
Literary biting the finger that feeds him. Huyu ni kama yule fisi aliyeokolewa na mbuzi toka kwa shimo only kumgeuka na kutaka kumla.
 
Back
Top Bottom