Uhuru na Raila waanza majadiliano kimya ya jinsi ya kugawana

Uhuru na Raila waanza majadiliano kimya ya jinsi ya kugawana

Hata yanayotokea tanzania wanasiasa kuhama kwa vimilioni vichache kwenda ccm especially huyu wa Cuf wa kinondoni kwenda ccm inakera sana
Kuna majimbo watu waliumia hadi kufa ili kulinda kura kama hapo kinondoni halafu mtu after 2 years anarudi ccm ,sasa ni kama hii issue,watu wa Nasa wengine walikufa na kuwa vilema,tunapoenda huko mbele wengi wataacha hata kupiga kura,hiyo naiona Tanzania,watu wame give up wengi tayari
 
Back
Top Bottom