Uhuru na Raila waanza majadiliano kimya ya jinsi ya kugawana

Mnatudharau sana ndio maana siwezi kuwaheshimu..... Mie nmekaa huko mna maukabila sana yaani hadi msiba kwenye estate akifiwa mtu wanakuja watu wa kabila lake mpka pastor na nyimbo zinazoimbwa ni za kikabila tu toka hapo nliwadharau sana

Mnachonikera wakenya ni kujiona mko mbali sana na kuanza kudharau waTZ kana kwamba cjui nchi yenu inaelea angani wakati shida tupu nmefika huko turkana xjui marsabit.......shida tupu maukame alafu mkija hapa ooooh Tanzania hamtuwezi cjui Tanzania LDC!!! Kuweni na adabu ndio tutawaheshimu

Simpendi magufuli ila alivyowanyoosha kwenye ng'ombe na kuku nampa big up mpaka muache dharau nyie tribalists
 
Literary biting the finger that feeds him. Huyu ni kama yule fisi aliyeokolewa na mbuzi toka kwa shimo only kumgeuka na kutaka kumla.
Wakenya mlinisaidia nni zaidi ya kuikejeli nchi yangu kwa hoja za kipumbavu cjui hatujui english!!!! Kuna likikuyu limoja sitalisahau tulienda kampala tumefika huko as a group wanaliuliza kuhusu Tz likaanza kuongelea negatives tu cjui oooh most iliterate country EA cjui watz hawajui english cjui waTZ are too local and uncivilized...... Mungu si athuman akateguka uti wa mgongo hao wagganda aliowapakiza maneno sio wakenya waliokuwepo (alikuepo mluo na mkamba ) hawakuja kumsaidia ila mmi aliyenidharau ndio nkawa namuuguza!!!! Hapo ndio alinyooka akaacha ukabila

Kwa ufupi kenya naipenda but kuna vijitu vichache kma wwe vinanifanya nijute kuzaliwa huko!!!
 
Mbona ufisadi na umaskini na slums na kuringa kwa wakenya kunakuwasha hivi mpaka povu linakutoka? Pilipili usioila yakuwashia nini? Wachana na umaskini wetu shughulika na utajiri wenu.
Yes Tanzania is very rich tunakosa uongozi tu ila with time tutawapiku tu ukizingatia mpka 2020 cjui mtakuwa na nchi mbili ya peoples republic of kenya na republic of kenya😀😀 hapo bado coast region itatangaza kujitenga !!!

Anyway tunakuja kwa kasi kiuchumi na wwe unaona coz tumeanza reform mining sector nafkiri umeshuhudia

Gas imevumbuliwa na inaanza kutumika mwakani

Port inapanuliwa na nyingine kuongezwa bagamoyo

Miundombinu inajengwa kurahisisha usafiri eg SGR...

Sekta ya utalii inakuwa sio nyie na kimaasai mara chenu cha kiubabishaji

Nyie kalieni maukabila , maslums na ukame wenu mkishtuka tumewapiku na viburi vyenu hivo
 
zitto junior kumbe ulizaliwa Kenya??? Dah ndo maana unalialia hivo? Jombaa dunia si fair wakianza kukuita zitto senior ndo utaelewa. Usijali dogo maisha yako hivo acha sitilesi.
 
Wakenya hawajawazuia kwa hali yeyote ile kujiendeleza kiuchumi.
 
Wewe mwenyewe huwajui wakikuyu vizuri. Kura za wakikuyu pekee haziwezi kufanikisha kumfikisha mkikuyu ikulu. Rudi kwa informer wako wa umbea vijiweni akuelimishe upya.
binafsi huwa siamini kuwa maraisi wa vinchi masikini vya afrika(kenya ikiwemo) wanaenda ikulu kwa uwingi wa idadi ya kura.

mara nyingi chaguzi hutumika tu kama kiini macho...ila vyombo vya ulinzi na usalama vikisukumwa na itikadi mbalimbali za ukabila,dini,ukanda au chama cha kisiasa,huwa vinakuwa tayari vimeshateua mtu wao wa kushika ikulu kabla hata zoezi la kupiga kura kuanza.hii ndio afrika msee.
 
Pole babaa usilie.
 
Angalau Uhuru amekubali kufanya hivyo ili kuleta mshikamano wa Wakenya na kuleta amani, siyo kama hapa kwetu kuna huyu dikteta uchwara anajiona yeye ndiye ndiye hataki kushauriwa kwa namna yoyote ile kwenye mambo mbali mbali yasiyo na maslahi kwa Watanzania na Tanzania. Imefikia hadi kutumia visu, mapanga, marungu na bunduki kupora ushindi wa uchaguzi wa Madiwani tu!!! Hawa wahuni wenyewe wanaita eti ushindi wa kisayansi!!!!

Nahofia huyu dikteta uchwara kwa nia yake ya kupora uchaguzi kwa gharama yoyote ile 2020 tunaweza kabisa kushuhudia umwagaji damu wa kutisha nchini ili tu kung’ang’ania kubaki madarakani.


 
Naona comment yako imetoklezea ki NRM NRM hivi, come slowly ila nimekuelewa mkuu.
 
Karne ya 20 una zungumza ukabila...? una panda gari la makabila? una ongozwa na ukabila...? Hayati nyerere ktk ubora wake... mwenyezi mungu amrehemu... amina
 

Wana dharau sana manyangau, ni busara Mkuu kuendelea kuwanyoosha hadi washike adabu..
 
Uhuru hawezi poteza muda wake kujadiliana na Hilo zezeta
 


Fvck Kenya!
 
sio nchi maskini tu mkuu, nadhan dunia nzima iko hivyo!!!........

nchi zinaongozwa na vikundi vya watu na wao ndio huamua nan awe raisi, wasipotaka wao huwez hata ufanyeje!!......, ndio dunia yetu no way
 
Wakenya hawajawazuia kwa hali yeyote ile kujiendeleza kiuchumi.
Acheni dharau nyie wakati hamna lolote ..... Watu wanakufa kwa ukame huko kaskazini kawapeni chakula sio mnakesha mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…