Uhuru ndiye rais pekee Afrika aliyealikwa kuhutubia mataifa makubwa ya G7

G7 wakusanyike kujadili usalama wa Kenya, hivi huwa mnaambatanisha ubongo na vitu mnavyoandika???
Yani ww umeruka comment ya inoclo... Akisema wanaongelea Ughaidi na utovu wa nidhamu unaoilikumba bara la afrika, unakuja nishambulia mm ninayemjibi de same thing. Na ni kitu nimesikia bbc.
Uwage unashirikisha ubongo kujibu vitu vingine
 
Hapa maana yako ni nini? Tukubali kusign EPA? Maana wewe huwajui hao wazungu na mikakati yao uko kusifia tuuuuuu.
 
Kwa hiyo Kenya ni G7 na umasikini uliojaa mashinani.
 
Kuna factors nyingi zimeangaliwa kabla ya kupewa wito....hasa swala la usalama....kenya ipo kwenye shida hiyo kwa muda sasa....kikao kingine siajabu akaitwa rais mwingine
 
nasubiri siku Ngosha atakapo alikwa akahutubie UN..
 
Hata hivyo Uhuru ni wakimataifa, very smart prezdaa,
Huwez lngansha na kinamseven au wakwetu wakukata na shoka
 
Kualikwa na wazungu nayo ni hot topic kwenu, utumwa sijui utaisha lini?
 
Gabon president came to kenya Earlier last week for a UN summit to follow up on Paris climate agreement of 2015

Then Uhuru was To attend the IGAD summit at KICC

after that he was the main speaker at UNEP

He later Went to UK but first made a stop over in Cairo and held a meeting with SISI.



He then went to UK for the Somalia Conference


After which held a meeting with Theresa May and kenyans in UK and British investors

Including BBC who have promiser to set up a 1bn kshs Studio in Nairobi to cover Horn of Africa and Kenya

He also spoke with investors to set up a large power plant in Nyanza to Use hyacinth as main source of power.
He also met up with museveni on the sidelines
He also met up with the Prince
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…