Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

Ngumu sana kuoleana,wakikuyu ni wabaguzi sana

Your point is misplaced, wakikuyu ndio wameolewa Na kuoa kwa Kabila zingine Kwa idadi ya juu zaidi maana yake Hilo Kabila Ni wengi,utakuta mkikuyu Kaoa mjaluo,luhya,Na ukienda maeneo ya mlima Kenya utakuta wanawake wa kitaita Pia. Kizazi cha Sasa Hakina mipaka
 
Kwanini husemi tu kuwa wanawake wa KIKIKUYU hawawakubali wanaume wasio tahiriwa!!! Sasa huo ndio unaouita ubaguzi?
Wanaume wengi wa kikikuyu wameoa wanawake wa kijaluo!!!
Kabisa gani ambalo hawatahiri?
 
Kwanini husemi tu kuwa wanawake wa KIKIKUYU hawawakubali wanaume wasio tahiriwa!!! Sasa huo ndio unaouita ubaguzi?
Wanaume wengi wa kikikuyu wameoa wanawake wa kijaluo!!!
Kumbe wakikuyu wana magovi?
 
juzi katukana Sonko kajibiwa kwa kutajwa dada zake kwenye rushwa ya county ya Nairobi, akamzushia kesi ya ujambazi Sonko. Sonko anasota selo!

Ila wakina Tony254 wako busy kusifia uhuni wa Uhuru!
Wameajiriwa kusifia, what else do u expect
 
Rwr dxUnaumwa wewe, kwahivyo rais wa Kenya, ambaye 'ulikuwa unamuona wa maana sana' unamjua kwa jina tu? Sura na sauti yake huzitambui kabisa? Try again.
umefungua hiyo link? fungua video utazame yote sio kujibu kwa kuangalia thumbnail tu
 
Lugha ni tatizo kubwa sana pia. Huyo presenter wa KTN ametoa maelezo ya kutosha kabla ya hiyo clip ya matamshi ya Raila Amolo Odinga. Ila ni wazi kabisa kwamba mleta mada ametoka kapa.
Ok hii Uhuru anaungumza Kiswahili, kama sijaelewa tena na hii?

Waache wakenya wapate raha maana waga ni wabishi sana hasahasa wakamba
 
Kwanini husemi tu kuwa wanawake wa KIKIKUYU hawawakubali wanaume wasio tahiriwa!!! Sasa huo ndio unaouita ubaguzi?
Wanaume wengi wa kikikuyu wameoa wanawake wa kijaluo!!!
Wajaluo mpaka leo hawatahiriwi ?
 
si uende udinywe na mmoja kisha utuletee mrejesho
Punguza jazba ndugu. Mimi kwetu Mara, kuna wajaluo wengi tu kwahiyo siyo vibaya kuuliza kama bado wanaendeleza hiyo mila.
 
Back
Top Bottom