Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

Sonko naye alikuwa amezidi sana kwenye matusi. Anatukana Uhuru utadhani uhuru ni ndugu yake wa toka nitoke. Halafu baada ya kutukana Uhuru na dada zake bado anasema kwamba walivuta bangi pamoja. Halafu kuharibu zaidi anatukana hata na deep state. Kenya pia kuna deep state ambao ukiwagusa lazima wakuandame. Sonko alisema kuwa Karanja KIbicho ambaye ni PS wa interior kwamba alipanga machafuko wakati wa 2017 elections.. Kwanza ni mjinga anasema kwamba walipanga pamoja. Kibicho anacontrol polisi na DCI sasa ndio maana polisi na DCI wanampumulia Sonko kisogoni. Ana mdomo kubwa sana huyu jamaa. Hakufunzwa adabu na wazazi wake sasa wacha ulimwengu udeal na yeye.
Uhuru wa kujieleza na katiba mpya vinaruhusu yote hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Happy hajasema moja kwa moja kua ni zamu ya jamii nyingine kutawala ametumia neno labda
Japo ametumia neno labda tu, ila maneno yake Yana uzito sababu yeye ni Rais wa nchi, na reaction ya watu ilikuwa kubwa
 
Japo ametumia neno labda tu, ila maneno yake Yana uzito sababu yeye ni Rais wa nchi, na reaction ya watu ilikuwa kubwa
Embu sikiliza vizuri maneno ya mwanzo kabla hajasema hlo la labda kabila nyingine itawale Kenya! Kabla ya kusema hvo kuna neno amesema if that is the fact labda nayeye anaweza sema......
 
MY TAKE
Unaamini kinachoongelewa na Mheshimiwa hapa? amekuwa Mkomunisti ghafla?

Tony254
 
Sonko naye alikuwa amezidi sana kwenye matusi. Anatukana Uhuru utadhani uhuru ni ndugu yake wa toka nitoke. Halafu baada ya kutukana Uhuru na dada zake bado anasema kwamba walivuta bangi pamoja. Halafu kuharibu zaidi anatukana hata na deep state. Kenya pia kuna deep state ambao ukiwagusa lazima wakuandame. Sonko alisema kuwa Karanja KIbicho ambaye ni PS wa interior kwamba alipanga machafuko wakati wa 2017 elections.. Kwanza ni mjinga anasema kwamba walipanga pamoja. Kibicho anacontrol polisi na DCI sasa ndio maana polisi na DCI wanampumulia Sonko kisogoni. Ana mdomo kubwa sana huyu jamaa. Hakufunzwa adabu na wazazi wake sasa wacha ulimwengu udeal na yeye.

Usitudanganye hapa, yaani kikuyu ndiyo unawa refer kama deep state ya Kenya.
😀😆😁
 
Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable

Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na short sighted wengine tulio nao hapa East Africa na Africa.

Nilianza kumshangaa baada ya kumsikia anataka eti uras wa Kenya utolewe kwa kufanya rotation ya kimakabila..! sasa jamaa hakuona hilo suala yeye alipokuwa akigombea Urais akimpokea kibaki ambapo wametokea kabila moja?

Ameanza kuliona baada ya kuona makumu wake wa Urais kama ana chance kubwa ya kuwa rais baada ya yeye kuondoka
Anyay, sasa uta rotate vip urais kwenye nchi yenye makabila sijui 42? si hiyo rottion itanza kuvurugika kabla hawajfikia hata kabila 6? ingekuwa nchi yenye makabila 2 au 3 pengine ingeingia akilini kidogo, japo uongozi hautakiwi kutolewa kwa kungalia kabila ila merit za mgombea.

Sasa kauli ya uhuru inazidi kugawa watu maana badala ya kujadili sera sasa wataanza kujadili na kupondeana makabila na kuzidisha chuki, cha ajabu Uhuru anajinasibu kuwa yeye na Raila wanajenga umoja wa nchi kupitia BBI huku yeye akitamka maneneo ya kuzidisha chuki za kikabila akiwa nyumbani kwake na kuitisha mikutano ya kikabila na kuhonga madiwani (MCA) mamilioni ya fedha ili wapitishe huo mswada badala ya ushawishi wa sera. Siasa za hovyo sana
Sure kwakuwa Magufuli ndii raisi bora Africa Mashariki na Afrika nzima[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom