skankad one
Member
- Nov 11, 2015
- 74
- 53
Acha Kufananisha Mambo Ya Kijinga Wewe! Wale Ni Wakenya Na Wanajua Kudai Haki Hawaombi Haki Penda Usipende La Sivyo Wako Tayari Kufa, Sasa Unafanishaje Na Tz? Kuna Sababu Za Kususia Uchaguzi Na Zinajulikana Hazikutekelezwa, Je Wafanyeje?Hakuna aliefanikiwa kwa kususia uchaguzi
Mbowe na Maalim Seif ni mashahidi
hamna Polisi ama Jeshi linaweza vamia wafuasi millioni moja! Hapo walipo hata Ikulu wanaingia wakiamua kuandamana! Kumbuka ushindi wa Uhuruto ni wa magumashi!Jamaa wako kwa kikao wanajadili hali ya Television kadhaa kufungwa na impact yake pamoja na mbinu iliyotumiwa na serikali kuondoa maaskari uhuru pack. Wanaona hii ya kuzima Tv inaweza ikafanya polisi wakavamia watu kisha kuwapiga na kuua wengine wakiwa gizani, ndiyo maana mpaka muda huu bado wako kwa vikao wanajadili nini kifanyike.
Tatizo unalo wewe kwasababu haihalishi idadi ya wakenya inahalisha idadi ya kura zilizopigwayani kuna jambo limenishangaza 39%
ndio waliojitokeza kati ya walio jiandikisha kupiga kura,
ni halali ang'ang'anie kuapishwa.
na idadi ya wakenya ni karibu million 40
na yeye kashinda kwa kura 7.5 million
hapa kuna tatizo sio bure kabisa.
Acha Kufananisha Mambo Ya Kijinga Wewe! Wale Ni Wakenya Na Wanajua Kudai Haki Hawaombi Haki Penda Usipende La Sivyo Wako Tayari Kufa, Sasa Unafanishaje Na Tz? Kuna Sababu Za Kususia Uchaguzi Na Zinajulikana Hazikutekelezwa, Je Wafanyeje?
na wewe mwalimu wako alikuwa na kazi darasani yani akili uwezo wako wa kufikiri hauwezi hata kufikiri nyuma ya ubao lipo nini..!!!Tatizo unalo wewe kwasababu haihalishi idadi ya wakenya inahalisha idadi ya kura zilizopigwa
Mimi pia najiuliza hilo.Kujiapisha ndio suluhu?
Baada ya kujiapisha anakuwa amiri Jeshi?
Mmmmmh!Ukiongea na Ng'ombe maana yake nawe ni ng'ombe
Epusheni shari ndugu zangu... tuweni wapole tuone nini hatima yake. Mungu ibariki KENYA.na wewe mwalimu wako alikuwa na kazi darasani yani akili uwezo wako wa kufikiri hauwezi hata kufikiri nyuma ya ubao lipo nini..!!!
A mass masturbation exercise [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kumbukeni according to ASSUMPTION OF THE OFFICE OF PRESIDENT ACT NO. 21 OF 2012, oath taking ceremony for the president should take place between 10:00 am and 2:00 pm Jakuon has 30 minutes to go. Otherwise, he will be leading his supporters in conducting what i called earlier, a mass masturbation exercise.