Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Amekwepa kutumia maneno ya kiuhaini kama vile 'kuwa amiri jeshi mkuu', na pia kiapo chenyewe amefanyiwa na mbunge, hivyo wamekua makini na hawajavunja sheria yoyote. Kiapo hicho kimetendeka chini ya dakika kumi.
Vinara wengine wa NASA hawakuhudhuria na hadi sasa haijabainika kulikoni.

==========

Opposition leader Raila Odinga was on Tuesday 'sworn-in' as the 'people's president'.

The oath was administered by Ruaraka MP TJ Kajwang.

National Super Alliance (Nasa) principals including Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi and Moses Wetang'ula were absent during the event at Uhuru Park which took less than 10 minutes.
 
w

amemuapisha hahah hawa jaamaa nishida lakini uhuru ni mvumilivu kiasi kikubwa ingekuwa policcm kuna watu wangekuwa wameaga dunia saa nyingi sana hapo uwanja huo vifaru vya enzi za mjeremani vingetolewa stoo cc ukuta
enzi za mjerumani!!German machine!!
 
enzi za mjerumani!!German machine!!
😀😀😀😀

uliona ukuta jamaa alitoa vyooote store
IMG-20151026-WA0009.jpg
 

Habari iwe kwenu wakuu!
Kutokana na yale yanayoendelea kenya , naweza kusema Mheshimiwa Raila Amolo Odinga ndiye mpinzani mwenye nguvu Afrika. Kutokana na mipango yake ya kujiapisha serikali ya jiji la Nairobi walifunga uwanja wa uhuru (Uhuru Park) kwa maelezo kwamba inafanyiwa ukarabati. Lakini jana msemaji wa NASA akihojiwa na VOA alisema hakuna chaguzi nyingine nje ya uhuru park, alisema kama uhuru park itafungwa bado uchaguzi wa pili utabaki uhuru park na hata chaguo la pili likishindikana bado chaguo la tatu ni uhuru park serikali hiyo itake isitake.

Kufuatia msisitizo huo jana mchana maaskari walimwagwa kuzunguka maeno hayo ya uhuru park, lakini hilo halikuwafanya wafuasi wa NASA kurudi nyuma. Usiku kucha wana NASA walikuwa wanamiminika kwenye Uwanja cha UHURU PARK mpaka ikabidi serikali iwatoe wale maaskari. Kwa hali inayoendelea hakuna njia nyingine kumaliza mgogoro huu zaidi ya mazungumzo. Ni vizuri Uhuruto wakakubali kuongea na raila kabla hali haijawa mbaya. Lakini nimegundua raila ana wafuasi watiifu kwake ,wafuasi watiifu kwa chama chake na muungano wao wa NASA, ukiongezea na hoja ya ukabila hapa hali itakuwa mbaya sana UHURUTO wakikaza shingo zao. Hakuna polisi wala jeshi linaweza kuzuia wananchi waliochoka na kukataa tamaa ,wananchi wanaoamini kwamba wanaonewa.

Hoja kwamba anachofanya Raila ni uhaini, inaweza kuwa sawa lakini nani atamshughulikia Raila? si uhuru wala Ruto anayeweza kukubali mchezo wa pata potea wa kuingiza nchi kwenye moto mkali zaidi ya moto wa JEHANAM kwa kumfunga Raila. Kwa hali illivyo na itakavyokuwa kwa masaa machahce yajayo huenda UHURUTO wakaomba mazungumzo.

Kindikwili-Kajiado (Kenya)
 
baada ya kuapishwa kaelekea ikulu ndogo kwa mfuga mbwa
 
Back
Top Bottom