ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kweli kabisaSIo Dar tu nenda kokote kule Tanzania. yaani miji ya Tanzania inapambwa na Frame,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaSIo Dar tu nenda kokote kule Tanzania. yaani miji ya Tanzania inapambwa na Frame,
Yaani unashughuli zako mjini labda unasubiria jambo unakosa mahali pa kukaa kusubiria. Labda uingie barNchi inaongozwa kishamba sana ,miji imajaa maduka kila kona, yaani mtaani ambako mtu anapaswa kupmzika baada ya mihangaiko ya siku nzima ndio kwanza kumejaa nigjt club, viwanda, hapo ni mtaani makazi ya watu njoo sasa mjini kwenyewe
Ile ya Magomeni nayo ni garden au? 😄Vipi ile garden ya posta iko poa au?
Nyerere pekee na wakoloni waliacha maeneo ya bustani na sehemu za huduma za mazoezi a utamaduni. Angalia mfano Russian Cultural Centre mjini na Vijana Kinondoni. Angalia Garden Posta, Viwanja vya Mnazi mmoja, Bustani mbele ya NBC Posta mpya, n.k.Tanzania Kuna ujinga mwingi sana ndugu yangu
Mimi nimekaa tu hapo msumbiji nchi masikin kabisa lakin inapangwa ikapangika kuanzia barabara mpaka hizo bustan ni nyingi sana kwa kila mkoa
Kwa mfano ukifika mkoa kama tete Kuna sehemu ya kwenda kufanyia mazoezi ambayo ni ya bure kabisa na ina kila aina ya kifaa cha kufanyia mazoezi ni bure kabisa lakin tanzania CCM wamekalia kuimba kura tu na kuuwa wapinzan wao huku wakisalimiana samaleko na tumsifu YESU KRISTO
Kwani humjui aliyewaloga?Aliye tuloga alikuwa na roho mbaya sana shetani akasome.
Tushikamabe tuwaondoe hawa walioharibu nchi yetu nzuri.CCM wameharibu mno Tanzania,mno mno
frame nationJiji limejaa Frame, yaani nenda Mwanza, nenda Arusha, nenda Mwanza ni full Frame, ni full over Frame na vijistend vya Bajaji na Toyo
Mwisho wa kuwaza kwaowanajenga frame wakiamini kila mbongo ni, MCHUUZI kumbe ni UPUUZI!
Angalau Tanga garden zipo. Sema ni kwa vle ule mkoa hauendelei. Ila ungekuwa unaendelea zle garden zote za tanga zingekuwa ni story sahvSIo Dar tu nenda kokote kule Tanzania. yaani miji ya Tanzania inapambwa na Frame
Arusha lilipo soko la Samunge ilikuwa ni open space mbunge mmoja wa viti maalumu CCM Magige Catherine alishauri lijengwe solo,kisa CHADEMA walikuwa wanafanyia mikutanoMiji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga.
Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa sasa ni masoko ya wachuuzi, ujinga mtupu, nenda huko sijui Mwanza ni the same.
Kenya pamoja na kuwa na uhaba wa Aridhi Nairobi anngalau wana Uhuru park yao nzuri ambapo ingekuwa ni Tanzania in.
View attachment 3163561geisha badilishwa matumizi na kuwa soko la Wamachinga wauza bidhaa za China. Ukienda Mombasa kuna Gadeni, the same na Kisumu kote huko.
Sisi tuna kwama wapi? Aridhi si tunayo? shida ni ipi?
Watawala wa CCM hawana muda wa ku plan hayo mkuu, wao bora liende mradi madaraka wanayashikiliaKuna siku niliwaza maeneo ya mbezi Magufuli kwa nini wasipande mauwa au miti maeneo ya katikati ya barabara na yale maeneo ya pembezoni kuna kama kimlima kimeota majani hawayapalilii au kubuni muonekano wa kupendeza hata mtu akitoka Burundi ashangae lakini wapi.
Tanzania eeeh!!
Nchi yangu oooh!!
Ciiiciem oyeeh!!
Mitano tena jamani.