Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

kitanzi kipi? kwani hujui kuwa kabla ya kununua nation media,ana shea mwananchi na ana magazeti mengine hapa nchini?
 
Mwana Halisi vipi?
 
Hawezi kufanya hivyo.
Angekuwa amesha wauza kitambo sana.
Mateso ya kesi, kufungiwa JF kisha kukosa matangazo ya biashara.
Unafikiri ilikuwa rahisi kuvumilia hayo yote?
Kwamba hakuwekewa kibunda kama 'Miradi ya Ayo'?
Kuna kuwekwa kibunda kama huyo dogo Millard lakini kuna kumwaga mzigo wa maana ili mafisadi waimiliki JF, those are two different scenarios.
Najua it's very unlikely kwake kuiuza hata wakimshawishi lakini kama binadamu the shit just popped into my mind.
 
Hata hivyo Mwananchi tayari ilishajifia siku, lilishageuka kipeperushi sawa tu na Mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…