Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
NILIWAAMBIENI ROSTAM AZIZI ASIPO KUFA NI NDOTO TANZANIA KUPONA HUYO NI MUHALIFU WA KIMATAIFA NIZAIDI YA ULE MUUZA MADAWA YA KULEVYA WA MEXICO....NILIWAHI KUONYA KUHUSU ROSTAM AZIZI NA NJAMA ZAKE JF
 
Wakati nchi yake ikishambuliwa na Marekani yeye yupo busy kuiharibu nchi yetu. Kikinuka anakimbilia nchini kwao anatuacha tunaendelea kuvurugana. Huyu jamaa ni zaidi ya kirusi.
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
Haitosaidia kitu, kwani mitandao ya kijamii ipo na watu wataendelea kupata taarifa tena zile breaking news, hata biashara ya magazeti hapa Bongo haina tena nguvu kama enzi zile za miaka ya 2006 mpaka 2016.

Taarifa za uhakika tutazipata mitandaoni na ukizingatia hata upatikanaji wa smartphones nao umekuwa ni rahisi mnoo (simu za mikopo) 😃

Imefungiwa Jamiiforums Tanzania lakini watu wapo Germany inapatikana
 
Ni kweli fedha anayo, lakini hatujasahau alituibia ishu ya scandalous Richmond deal, he had swindled and pocketed millions of taxpayer's money. Yeye na Lowassa.
Ndio anazitakatisha sasa, ndio maana hutasikia forbes, Fortune Magazines wanamtaja Rostam kama self-made bilionea. 😁
Rostam ni fisadi papa. Ndio maana alikuwa hasikiki kipindi cha Magufuli. Ameanza kusikika baada ha genge la mafisadi kujingiza madarakani kwa nguvu.
 
Haitosaidia kitu, kwani mitandao ya kijamii ipo na watu wataendelea kupata taarifa tena zile breaking news, hata biashara ya magazeti hapa Bongo haina tena nguvu kama enzi zile za miaka ya 2006 mpaka 2016.

Taarifa za uhakika tutazipata mitandaoni na ukizingatia hata upatikanaji wa smartphones nao umekuwa ni rahisi mnoo (simu za mikopo) 😃

Imefungiwa Jamiiforums Tanzania lakini watu wapo Germany inapatikana
Mkuu umeongea vema sana. Lakini lengo la mafisadi ni kuziba mianya yote ya taarifa za uhakika kadri wanavyoweza. Ndio maana wameanza na mwananchi. Hatujui kesho watanunua chombo kipi cha habari. Huko kwenye TV na redio ndiko wamejikita zaidi; wamenunua wamemaliza. Hata ITV sio ile TV tuliyokuwa tunaitegemea kabla ya kununuliwa na mafisadi ya CCM.
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
si ungelinunua wewe? wacha umbeya magezeti yako mengi sana, na unaweza kuanzisha lako pia ili uhuru wa habari uendelee kuwepo.
 
Rostam ni fisadi papa. Ndio maana alikuwa hasikiki kipindi cha Magufuli. Ameanza kusikika baada ha genge la mafisadi kujingiza madarakani kwa nguvu.

Rostam ni mwizi inafahamika, huwezi mkuta Forbes au Fortune magazines anajadiliwa kama legit investor and Self-made billionaire. Hapo Kenya ndio chaka lake, yeye na Harbinder Sigh Seth, Kenya's media houses know him better. 😁
 
Mkuu umeongea vema sana. Lakini lengo la mafisadi ni kuziba mianya yote ya taarifa za uhakika kadri wanavyoweza. Ndio maana wameanza na mwananchi. Hatujui kesho watanunua chombo kipi cha habari. Huko kwenye TV na redio ndiko wamejikita zaidi; wamenunua wamemaliza. Hata ITV sio ile TV tuliyokuwa tunaitegemea kabla ya kununuliwa na mafisadi ya CCM.
Mkuu unayo sema ni kweli kabisa, na majanga haya ya kuminya uhuru wa kutoa maoni, ulishamiri sana enzi za Magufuli.

Lakini uzuri ni kwamba wanavyozidi kuminya uhuru wa upatikanaji wa habari ndivyo wanavyowafanya watu wawe na kiu ya kuzitafuta zaidi hizo habari.

Binafsi niipongeze sana Jamiiforums kwa kujitanua zaidi hapa Africa na upatikanaji wake umekuwa ni worldwide. Yote haya yanatokea tuamini kwamba nyakati nzuri zinakuja.

Mwanzilishi wa haya yote JPM leo yuko wapi?
 
Rostam ni fisadi papa. Ndio maana alikuwa hasikiki kipindi cha Magufuli. Ameanza kusikika baada ha genge la mafisadi kujingiza madarakani kwa nguvu.
Kama ni fisadi mfungulie mashitaka, acha kufuata mkumbo. Rostam ana maana kubwa kwa taifa kuliko wewe. Analipa kodi na kuajili watanzania wengi sana wanaolisha familia zao. Hakuna taifa lisilokuwa na matajiri wake.
 
si ungelinunua wewe? wacha umbeya magezeti yako mengi sana, na unaweza kuanzisha lako pia ili uhuru wa habari uendelee kuwepo.
Mkuu hujaelewa hoja. Hebu rudia kusoma uzi mstari kwa mstari utaelewa msingi wa hoja yangu.
 
Kama ni fisadi mfungulie mashitaka, acha kufuata mkumbo. Rostam ana maana kubwa kwa taifa kuliko wewe. Analipa kodi na kuajili watanzania wengi sana wanaolisha familia zao. Hakuna taifa lisilokuwa na matajiri wake.
Utajiri wa kupora rasilimali za taifa halafu wananchi wanaambulia makombo kupitia ajira na vibarua? Hebu kuwa serious mkuu.
 
Hiyo offer uliitoa lini? Wewe unataka JF inunuliwe na machawa ili uwe huru kuweka uchawa wako humu bila kupingwa?

Brother, JF walishapewa dau, Max akachomoa, kila mbinu ilishatumika kuizimia hii platform, Max analipa gharama kubwa sanan isiyo ya fedha kutunza JF na ku maintain uhuru wetu humu JF.
Tungesha binywa kitambo sana humu, toka enzi za JK, kama sio akili na charismatic move ya Max.

Hizi identity zetu humu, ziliwekewa dau, akili kubwa ikakataa deal hiyo. Huyo Max ni wa kumshukuru sana aisee, hii media ingekuwa ya wajinga, isingetoboa miaka 20.
Wanatakaga wainunue JF, watushikishe adabu afu waiue kiana. Yaani ijifie tuu kwa kuhujumu lengo na ubunifu wa JF.
 
Ni wakati wa kuibuka kampuni zingine za uchapaji against NMG ili kuleta mizania sawa kwenye uandishi. Kutegemea NMG ya Rostam tutalishwa propaganda za kichawa mpaka tukome. The Guardian na media zao wajipange kuchukua nafasi ya kuaminiwa kihabari itakayoachwa na NMG. Azam media haina jeuri ya kutoa habari wanazohitaji wananchi, ina uchawa wingi na inafahamika vema. Ni mpira tu ndio unabeba azam media the rest hakuna kizuri wanachoripoti kwa wananchi. Mitandao ya kijamii bado ina wafuatiliaji wachache kutokana na gharama kubwa ya imternet, huko ndiyo ingekuwa komesha ya media za kichawa
Eti nawewe umetoa hoja. Nonsense. kama wewe ni maskini usiwachukie watu matajiri. Umaskini ni ulofa wenu tu. Unachotakiwa sisimamia kanuni na ulipaji kodi halali baasi. Kuna wakati kampuni ya vinywaji ya Coke ilikuwa inanunua chupa za Pepsi mitaani ili pepsi asiuze soda, na haya ni makampuni makubwa ya kimarekani. Wacha anunue na wewe tafuta gazeti lingine ulinunue ili uandike ukweli unaoujua. Hata chadema walikuwa na gazeti, linaandika nini?
 
Back
Top Bottom