Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

Ni wakati wa kuibuka kampuni zingine za uchapaji against NMG ili kuleta mizania sawa kwenye uandishi. Kutegemea NMG ya Rostam tutalishwa propaganda za kichawa mpaka tukome. The Guardian na media zao wajipange kuchukua nafasi ya kuaminiwa kihabari itakayoachwa na NMG. Azam media haina jeuri ya kutoa habari wanazohitaji wananchi, ina uchawa wingi na inafahamika vema. Ni mpira tu ndio unabeba azam media the rest hakuna kizuri wanachoripoti kwa wananchi. Mitandao ya kijamii bado ina wafuatiliaji wachache kutokana na gharama kubwa ya imternet, huko ndiyo ingekuwa komesha ya media za kichawa
Mkuu hata the guardian ya IPP nayo imeishanunuliwa na CCM. Hakuna kitu pale. Tumebakiwa na JF tu kama chombo huru cha habari. Vilivyobaki vyote vinanuka uchawa 💯%.
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
​
Haya ni mawazo mgando. Unaangalia kutoka kwenye tundu la ndege. Toka hapo kuwa huru acha akili yako ifikirie bila kuizuia kufuata moyo wako.

Huyu ni Mtanzania aliyenunua 54% ya hisa zilizokuwa zinashikiliwa na Aga Khan Foundation. Hilo gazeti la Mwananchi na The Cirizen ya Tanzania huenda yanachangia less than 5% ya portfolio ya Nation Group hapa East Africa.

Namna ambavyo Wakenya wamewekeza Tanzania kupitia makampuni kama KCB, Equity Bank, Brookside Dair, KD Safari, Serena, etc, ningetegemea leo hii Watanzania wafurahi kuona Mtanzania mwenzetu anaingia Kenya kufanya biashara.

On the contrary Watanzania wenye akili fupi, wananagalia pafupi.
 
you will understand soon enough kwamba islamic sharia state is in its final stages, wamekaba kila mahali na kila kona kuanzia utalii, madini, hazina wizara ya fedha yote muslims, military, sasa media hiyo imeenda, bila kusahau elimu mnajua kinachoendela huko wizarani elimu? tumebakiza jf tu, lkn for how long?, na 2030 nani atawazuia kuendelea au hata kuweka next muslim even more radical, labda hata jihadist who knows?

war on Christianity is real ...
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
​

Nani anasoma gazeti la Mwananchi? Uhuru wa habari haiwezekani kuzimwa Mpaka Kiama!
 
na hao watakaoajiriwa chini rostam wajiandae kupoteza kazi mapema maana rostam magazeti yake huwa hayadumu
Wajiandae kuwa marobot maana watakuwa hawatumii akili zao tena. Habari watakazokuwa wanaandika ni zile tu zinazotoka ndani ya CCM na serikali yake. Ukiandika habari nje ya hapo, hasa kama zinaikosoa serikali, umekwisha!
 
Yeah I know, maana yangu ni kwamba anaweza kutaka kulinunua kwa lengo la kuliharibu tu, these devil minded criminals have cunning ways of making things go their way.
Wamegundua kuwa gazeti limebaki hilo tu. Wanataka walinunue halafu waliue wamalize mchezo.
 
Mkuu kwani mmiliki wa gazeti la mwananchi ni mtanzania?? Jielimisheni basi,,hiyo ni kampuni Mama ipo kenya? Mwananchi ni moja tu ya product yao
Usiangalie nationality ya wamiliki bali angalia UCHAWA wa mmiliki mpya. Chombo cha habari kama gazeti kinastawi kwa kuandika taarifa za uhakika...zisizochakachuliwa. Baada ya Rostam kuinunua NMG, tutarajie sasa waandishi wa habari watakuwa hawatumii akili zao kuandika. Na huu ndio utakuwa mwisho wa gazeti la Mwananchi. Hii ndio hoja yangu kuu mkuu. Nadhani sasa tumeelewana.
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.
​
Bado unasoma magazeti?
 
Nawaona mnaandika umakolo ili ionekane serikali ya ccm ndo imesimamia mchakato

Iko hivi kampuni ya NMG inaendesha shughuli zake nyingi nchini kenya na ina vyombo vya habari vingi vya magazeti mengi kama daily nation na hadi tv ya NTV ya kenya.

huku tanzania ina magazeti machache sana na haina uhusiano wa kiumiliki na ccm au serikali au hata chadomo wala nn bali vyombo hv vya habari vilikuwa vinamilikiwa na mtandao wa agha khan.

mtandao wa agha khan ndo wamefanya biashara hzo nchini kenya na wameuza kila kitu kuanzia NTV, magazeti zaidi ya tano yaliyokuwa yana operate kenya pamoja na haya machache ya tanzania.

hivyo kama hamna ajenda ya kuiponda serikali kaeni kimya msubiri tukio lingine wazee wa matukio au ingia barabarani tena mfundishwe adabu.
 
Twende taratibu mkuu. Unakumbuka Rostam aliinunua New Habari Corporation na kuia? Kama aliiua NHC anashindwaje kuia NMG?
 
Mkuu kwani mmiliki wa gazeti la mwananchi ni mtanzania?? Jielimisheni basi,,hiyo ni kampuni Mama ipo kenya? Mwananchi ni moja tu ya product yao
Ndo naona wanalishana ujinga hapa halafu waje kujiita great thinker wa jf,
Kampuni ya NMG ipo kenya na inamilikiwa na mtandao wa agha khan..sasa wanavyojazana upepo mara katishiwa

yaani JF inakuwa kama jalada la san lile la vibonzo kwa sababu ya wajinga wachache hawa.
 
Elewa somo kwanza kabla ya kukurupuka kudandia treni kwa mbele. Wewe unadhani gazeti la Rostam linaweza kuipinga CCM au kuikosoa serikali ya wauaji?
 
you will understand soon enough kwamba islamic sharia state is in its final stages, wamekaba kila mahali na kila kona kuanzia utalii, madini, hazina wizara ya fedha yote muslims, military, sasa media hiyo imeenda, bila kusahau elimu mnajua kinachoendela huko wizarani elimu? tumebakiza jf tu, lkn for how long?, na 2030 nani atawazuia kuendelea au hata kuweka next muslim even more radical, labda hata jihadist who knows?

war on Christianity is real ...
Acha kupumbaza watu kwa kiingereza chako cha jioni

Kwani tangia mwanzo aliyekuwa anamiliki hayo magazeti ya mwananchi alikuwa mkiristo? Tangu lini agha khan akawa mkiristo?
Jitahidi kuficha ujinga, isionekane kuwa sisi wakristo wote ni wajinga.

Takriban 54% ya nmg inamilikiwa na agha khan na ina operate shughuli zake kenya, hayo magzeti mawili ni product tu, LAKN NMG ipo kenya na hata wana tv maarufu kenya inaitwa NTV
 
najua kwamba nmg ni mali ya aga khan, aga khan ni shia muslim, rostamu ni muirani shia muslim, umeipata hiyo connection? au unafikiri hayo yote yametokea tu na yoyote mwenye fedha angeweza kununua nmg?bado umelala usingizi ...
 
Acha kupumbaza watu kwa kiingereza chako cha jioni

Kwani tangia mwanzo aliyekuwa anamiliki hayo magazeti ya mwananchi alikuwa mkiristo? Tangu lini agha khan akawa mkiristo?
Jitahidi kuficha ujinga, isionekane kuwa sisi wakristo wote ni wajinga.

Takriban 54% ya nmg inamilikiwa na agha khan na ina operate shughuli zake kenya, hayo magzeti mawili ni product tu, LAKN NMG ipo kenya na hata wana tv maarufu kenya inaitwa NTV
Hoja yako ni nini sasa mkuu? Hebu ingia kwenye hoja moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom