Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

najua kwamba nmg ni mali ya aga khan, aga khan ni shia muslim, rostamu ni muirani shia muslim, umeipata hiyo connection? au unafikiri hayo yote yametokea tu na yoyote mwenye fedha angeweza kununua nmg?bado umelala usingizi ...
Huyo jamaa umueleweshe polepole mkuu. Ana kichwa kizito. Sidhani kama anafahamu Ristam ni muIran.
 
Elewa somo kwanza kabla ya kukurupuka kudandia treni kwa mbele. Wewe unadhani gazeti la Rostam linaweza kuipinga CCM au kuikosoa serikali ya wauaji?
1. Kwanza hakuna serikali ya wauaji
-mbona wewe haujauliwa na upo mtandaoni kila siku na watu wanakufahamu vzr?

2. Hakuna siku ccm na serikali yake ilikataa kukosolewa
Na kama kufanya vurugu, na kuharibu miundo mbinu ndo ukosoaji basi we have a long way to go.

3. Hii serikali ni sikivu na ipo busy kuwaletea wananchi maendeleo. sasa nyie endeleeni kutukanana mitandaoni mtazinduka dk za jioni.
-sijui utawarithisha watoto wako matusi ya mitandaoni.
 
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo limenunuliwa na Rostam Aziz kwa 💯%.

Huu ulikuwa mkakati wa muda mrefu uliolengwa na serikali kuzima kabisa uhuru wa habari hapa nchini. Baada ya Rostam kushika hatamu za gazeti hili, usitegemee kwamba litaandika habari zenye tija tena. Ni rasmi sasa litakuwa linaisifia serikali ya Samia kila kukicha na kupindisha ukweli wa taarifa ili kuifurahisha serikali ya CCM na wafuasi wake.

Ukinunua gazeti la Mwananchi kuanzia sasa ni kama umenunua gazeti la Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News, na magazeti mengine yenye mwelekeo wa kichawa. Tukumbuke Rostam aliwahi kununua kampuni ya magazeti iliyoitwa New Habari Corporation lakini ilikufa kifo cha mende baada ya Rostam kuingiza mambo yake ya kiCCM kwenye uandishi wa habari. Aliwafukuza waandishi wa habari mashuhuri, wakiwemo Generali Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Padri Karugendo, Majid Mjengwa, Joseph Mihango, Ayubu Ryoba na wengine waliokuwa wakiandika habari za uhakika. Baada ya kuwafukuza hawa waandishi nguli, aka recruit machawa wa CCM waliokuwa wakiandika habari za kuisifia CCM na kufumbia macho ufisadi. Matokeo yake, kampuni ilikufa kifo cha mende.

Utaratibu uleule uliotumika kuua kampuni ya New Habari ndio wanaotaka kuutumia kuiua kampuni ya Nation Media Group inayomiliki magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Tutarajie kampuni hii nayo itakufa muda mfupi ujao.

NMG ikifa na uhuru wa habari nao utakuwa umekufa 💯%. Habari zote zitatawaliwa na magazeti ya kichawa kama Nipashe, Wamachinga, na Mwanahabari pamoja na TV na redio za CCM kama vile TBC, Chanel 10, Uhuru FM, Magic FM, nk.

Pia tukumbuke kuwa baada ya vyombo vyote hivi kununuliwa na CCM, chombo pekee huru kitakachobaki ni JamiiForums. Ndio maana wanajitahidi kila siku kuipiga pin JF ili tukose mahali pa kukimbilia. Anyway, Mungu atawaadhibu wote wanaoshiriki mchezo huu mchafu sawasawa na matendo yao ovu. Mungu wetu hajawahi kushindwa.

Mwanahabari wa kitambo Pascal Mayalla sema neno.
 
Huyo jamaa umueleweshe polepole mkuu. Ana kichwa kizito. Sidhani kama anafahamu Ristam ni muIran.

hii ilishawekwa hapa jf, ukiuganisha dots unapata picha kamili ...

1773221766219.png
 
Nawaona mnaandika umakolo ili ionekane serikali ya ccm ndo imesimamia mchakato

Iko hivi kampuni ya NMG inaendesha shughuli zake nyingi nchini kenya na ina vyombo vya habari vingi vya magazeti mengi kama daily nation na hadi tv ya NTV ya kenya.

huku tanzania ina magazeti machache sana na haina uhusiano wa kiumiliki na ccm au serikali au hata chadomo wala nn bali vyombo hv vya habari vilikuwa vinamilikiwa na mtandao wa agha khan.

mtandao wa agha khan ndo wamefanya biashara hzo nchini kenya na wameuza kila kitu kuanzia NTV, magazeti zaidi ya tano yaliyokuwa yana operate kenya pamoja na haya machache ya tanzania.

hivyo kama hamna ajenda ya kuiponda serikali kaeni kimya msubiri tukio lingine wazee wa matukio au ingia barabarani tena mfundishwe adabu.
Serikali ya CCM ina mbinu nyingi za kishetani na michakato ya ushetani wake huanzia mbali sana. Wewe unadhani mchakato wa kuwaua Ben Saa8, Mdude na Polepole ilichukua muda mfuPi au mrefu?
 
Nawaona mnaandika umakolo ili ionekane serikali ya ccm ndo imesimamia mchakato

Iko hivi kampuni ya NMG inaendesha shughuli zake nyingi nchini kenya na ina vyombo vya habari vingi vya magazeti mengi kama daily nation na hadi tv ya NTV ya kenya.

huku tanzania ina magazeti machache sana na haina uhusiano wa kiumiliki na ccm au serikali au hata chadomo wala nn bali vyombo hv vya habari vilikuwa vinamilikiwa na mtandao wa agha khan.

mtandao wa agha khan ndo wamefanya biashara hzo nchini kenya na wameuza kila kitu kuanzia NTV, magazeti zaidi ya tano yaliyokuwa yana operate kenya pamoja na haya machache ya tanzania.

hivyo kama hamna ajenda ya kuiponda serikali kaeni kimya msubiri tukio lingine wazee wa matukio au ingia barabarani tena mfundishwe adabu.
Unaleta uchawa then pathetically unawaambia watu wake kimya, so undoubtedly this topic causes itches in your butt-hole.
Hivi mnadhani mnauwezo wa kunyamazisha kila mtu, muda wowote na sehemu yoyote no wonder as irrelevant as you are shamelessly you think you have that authority hata humu JF.
 
Wenye Fedha na Idea ya mambo hayo ndo kuwekeza huko kwa sasa

Ni kweli fedha anayo, lakini hatujasahau alituibia ishu ya scandalous Richmond deal, he had swindled and pocketed millions of taxpayer's money. Yeye na Lowassa.
Ndio anazitakatisha sasa, ndio maana hutasikia forbes, Fortune Magazines wanamtaja Rostam kama self-made bilionea. 😁
 
Usiangalie nationality ya wamiliki bali angalia UCHAWA wa mmiliki mpya. Chombo cha habari kama gazeti kinastawi kwa kuandika taarifa za uhakika...zisizochakachuliwa. Baada ya Rostam kuinunua NMG, tutarajie sasa waandishi wa habari watakuwa hawatumii akili zao kuandika. Na huu ndio utakuwa mwisho wa gazeti la Mwananchi. Hii ndio hoja yangu kuu mkuu. Nadhani sasa tumeelewana.
Mkuu mimi nmejibu hoja yako ambayo wewe umesema kuwa wenda mmiliki wa mwananchi ametishiwa...nkaja na hyo hoja kuwa mmiliki wake siyo mtanzania na ni mkenya anaye miliki kampuni kubwa huko kenya..mwananchi ikiwa ni product tu iliyopo tanzania.
 
Sijui anataka nini huyu tajiri, kuzinunua mwananchi communication ya Nation media itabidi uandishi wa gazeti la mwananchi ubadilike kisera. Gazeti litakuwa linaandika uchawa na litaporomoka mauzo. Tajiri anataka kuhodhi na kumiliki/kutawala habari kwa kufanya propaganda zake atakavyo. Ina maana atakuwa na nguvu kubwa kujipatia mgombea urais ajaye kwa nguvu kubwa za media zake. Nadhani mtakumbuka Gazeti la Rai lilivyotumika kuwaponda wagombea wale na kumfagilia mgombea yule mpaka akaibuka mshindi wa urais

Wana mtandao at work!
 
Ni kweli fedha anayo, lakini hatujasahau alituibia ishu ya scandalous Richmond deal, he had swindled and pocketed millions of taxpayer's money. Yeye na Lowassa.
Ndio anazitakatisha sasa, ndio maana hutasikia forbes, Fortune Magazines wanamtaja Rostam kama self-made bilionea. 😁
This allegation has never been proven in any court of law. It’s mere sham!
 
Back
Top Bottom