Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA.Sikulazimishi ili najaribu kukuzindua kuwa ukristo huujui.umetekwa nyara na mayahudi.hiyo misamiati ya kumuita Mungu Yehova wala si ya kikristo.
Jibu swali,,hamas wanaua kondoo na mbuzi na kuku???Wewe si msomi wa maana.Kwa sababu majibu uliyoyazoea ni yale ya kujaza A,B,C na D
Mkuu unanilazimisha niamini mapokeo ya waarabu.Sikulazimishi ili najaribu kukuzindua kuwa ukristo huujui.umetekwa nyara na mayahudi.hiyo misamiati ya kumuita Mungu Yehova wala si ya kikristo.
Nijiulize vipi mkuu???Kaa ujiulize tena wapi ni sahihi zaidi.
Jibu swali,,kwahiyo hamas wanaua kondoo na mbuzi na kuku??Wewe si msomi wa maana.Kwa sababu majibu uliyoyazoea ni yale ya kujaza A,B,C na D
Nilikuamini kama mtu mwenye akili za kujadili mambo mazito hapa JF kumbe hamna kitu.Na kwa kurudia kwako swali hilo nimeelewa jinsia yako kuwa ni ya kike.Jibu swali,,hamas wanaua kondoo na mbuzi na kuku???
Mkuu mbona matusi tena,, wewe si unasema hamas wazuri na hawaui watu!!!Nilikuamini kama mtu mwenye akili za kujadili mambo mazito hapa JF kumbe hamna kitu.Na kwa kurudia kwako swali hilo nimeelewa jinsia yako kuwa ni ya kike.
Jibu lake ni rahisi ungepaswa kulijua tangu mwanzo.Kuwa wayahudi ni binadamu kama wapalestina.
Mambo mazito Alwaz ARABIZATION???Nilikuamini kama mtu mwenye akili za kujadili mambo mazito hapa JF kumbe hamna kitu.Na kwa kurudia kwako swali hilo nimeelewa jinsia yako kuwa ni ya kike.
Jibu lake ni rahisi ungepaswa kulijua tangu mwanzo.Kuwa wayahudi ni binadamu kama wapalestina.
Tukimalizana na gaza,tunapanda hapo lebanon,huku tukisikilizia iran ajichanganye,Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.
Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.
Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.
Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.
Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.
Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.
Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.
Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.
Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
Wote wanaua. endeleeni kupeleka wagonjwa kwenye hospital ilizo juu ya maandaki. Hamas walishaona raia Ni Kinga yao.Kama kuuwa ni jambo baya.Nashangaa ulivyo kipofu.
Nani ameuwa watu wengi zaidi kati ya Israel na Hamas na kati ya Marekani na Taliban
Na nani muuwaji mbaya kuliko yule anayeua watoto na wagonjwa.
Kwa hiyo janjaweed,alshababu,iss, Bokhara mu wamebarikiwa?Hata hapo juu nimesema wote ni binadamu.Mwenyezi Mungu tu ndiye aliyewaita mayahudi waliolaaniwa.Mimi siwezi kubadilisha kitu.
ndoto za mtu aliyepandwa na kibri ndivyo zilivyoTukimalizana na gaza,tunapanda hapo lebanon,huku tukisikilizia iran ajichanganye,
ambaye ni kaka wa magaidi,akifyekwa dunia inatulia
Takbir.
Kwenye hayo majina huwa sijihusishi sana.Najua ni madude ya kutengenezwa na Marekani na Israel ili kuendeleza ajenda zao.Huwa wanakwenda nayo halafu wanayaua wenyewe.Kwa hiyo janjaweed,alshababu,iss, Bokhara mu wamebarikiwa?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hayo ni makundi ya kutengenezwaKwa hiyo janjaweed,alshababu,iss, Bokhara mu wamebarikiwa?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hivyo vikundi halisi vya waislamu bali ni vikundi vya kuupiga vita waislamu vilivyoasisisiwa na maadui wa waislamu.Kwa hiyo janjaweed,alshababu,iss, Bokhara mu wamebarikiwa?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
You have a point.Kila jambo lina ukomo wake.Nguvu kubwa ya Israel imedumu mpaka mwaka huu 2023.Kuanzia sasa ni kudidimia tu.
unayo taarifa kuwa Israel inataka inunue Iron dome zake 2 ilizoziuza kwa US kutoka na mahitaji kuongezeka.Huyo ni Hamas tu asiyekuwa na ndege wala silaha za kutosha.Itakuwaje kama hao majirani watatu kila mmoja atarusha jiwe lake.
Haya hayafanyiki?propaganda ambazo hazifanyi kazi tena.Zilifanya kazi enzi zile za kuigawa Sudan.Iko siku wataunganisha tena nchi yao.