Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

Hiyo Palestina inazisaidia nini hizo nchi hadi kutaka serikali zao zipinduliwe kwa ajili ya Palestina? Tuorodheshee japo mchango mdogo wa Wapalestina kwa mataifa hayo.

Hivi huwa mnawaza kwa kutumia akili zipi hadi mnafikia kuandika mataputapu na upumbavu kiasi hiki?
 
Tatizo hata historia hamsomi ndio maana mnapigwa kila kukicha. Kama unaweza waulize wastaafu wa raisi wa Enzi hizo wa Misry Gamal Abdel Nasser. Huyu alipata support na nchi zote za kiarabu lakini aliangukia pua vibaya sana. Waarabu wa buza tulizeni mafuvu mfikirie njia bora kupigana. Hayo Mapinduzi yatanufaisha mnaoshindana nao kuliko ninyi.

Mpaka mmalize Hayo Mapinduzi na muanze kujipanga tayari.mkssad watakua wamekaa mpaka kwenye vitanda vyenu vya sirini.
 
Reactions: K11
Haya ni kweli kabisa bila kuwaondoa hao vibaaraka wa nchi hizo tatu ni tabu lakini namini Israel atapotea very soon.
 
Reactions: K11
Akili zako ni za kimaada zaidi na kufikiria pesa.Wapalestina ni kama walinzi wa masjid aqswa na ambao ni sehemu muhimu kwa ajili ya maisha ya kudumu ya akhera ambayo ni bora zaidi kuliko kusaidiana pesa hapa duniani
 
Sasa kama akhera ni bora mnacholinda hapa duniani ni cha nini? Kwa hiyo hizo Masjidi mlizo nazo huko mitaani kwenu zenyewe hazitawasaidia kwenda akhera? Kwamba hiyo misikiti ya mitaani kwenu ni matoy tu!? Hiyo Al Aqsa mbona inalindwa na Israel na akiamua kuifuta anaifuta ni vile tu miongoni mwa wa Israel kuna waislam pia na ndiyo maana ameuacha wala siyo sababu ya Wapalestina wala nani
 
Reactions: K11
Kama umeusoma uislamu basi utajua kuwa misikiti ya mitaani kwetu si sawa na masjidul Aqswa.Kwani muislamu akipata fursa ya kuswali pele siku moja tu na baada ya hapo akafa basi ana nafdsi kubwa ya kuingia peponi na kuishi maisha mazuri ya milele.
 
Reactions: K11
Si rahisi kuifuta Alaqsa.Anaweza akawaua viongozi kadhaa watetezi wa msikiti huo lakini hilo la kuufuta haltatokea kamwe.
 
Hata kama matendo yake maovu?
 
Reactions: K11
Si rahisi kuifuta Alaqsa.Anaweza akawaua viongozi kadhaa watetezi wa msikiti huo lakini hilo la kuufuta haltatokea kamwe.
Kwa hiyo Yahudi akibomoa huo msikiti wewe na wenzako mtamfanya nini?
 
Sure.
The time has come.
The time has always come since 1980s , nini kimefanyika?
Hizo nchi ulizotaja hawaongozwi na practicaly dini anymore although wanajiiya za kiislam.
hayo mataifa 1980, ulikuwa muda mzuri wa kufanya hayo mapinduzi. But its too late now
 
Ukiona hadi nchi zote Duniani zimekaa kimya ujue Shida inaweza kuwa hao Hamas wenyewe
 
Kama umeusoma uislamu basi utajua kuwa misikiti ya mitaani kwetu si sawa na masjidul Aqswa.Kwani muislamu akipata fursa ya kuswali pele siku moja tu na baada ya hapo akafa basi ana nafdsi kubwa ya kuingia peponi na kuishi maisha mazuri ya milele.
Aisee!!! Kuna ujinga mwingi kwenye dini.
 
Ukiona hadi nchi zote Duniani zimekaa kimya ujue Shida inaweza kuwa hao Hamas wenyewe
Kwani dunia inaongozwa na nani.Iwapo shetani amiliki akili za watu wengi basi tatizo linaweza kuanza hapo.
Allah huwa hadhuriki na uasi wa watu kutokana na shetani.Watu wenyewe ndio wanajidhuru kwa mikono yao bila kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…