Uhuru wa wanachama dhidi ya wenyeviti wao CHADEMA as sample

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Najaribu kuwaza pia Mtu ambaye anashawishiwa na M/K "at individual capacity" kwa ahadi ya kutafutiwa kazi Nje ya Nchi, ili aachane na maamuzi yake, akikubali kufanya hivyo, uhuru wake utakuwaje ndani ya Chama!!.
Hii inatakiwa kuitafakari bila Muhemko
Wala matusi

Bado najiuliza pia anayetoa offer ya kupatia Watu kazi kutoka kwenye Ubunge, linapofika suala la Wabunge kununuliwa na kuahidiwa vyeo kama ambavyo madai yaliyokuwepo unyoofu wa maelezo hayo unahitaji kutafakari kidogo hasa likija jambo la kuwanyooshea vidole wengine.

Bado mtu bila kuogopa anataja hadharani kwamba nilimuita kumshawishi je kwanini asiseme chama kimewaita Au ninewaita Kwa niaba ya chama

Unasema umemlea mtu tokea chuo ili ashike nafasi ya chama inamaana chama hakina kamati kadhaa za kukaa na kuamua mpaka mtu mmoja?

Kwa kifupi tunasafari ndefu kidogo na Vyama vyetu, ukuaji na ushawishi wake dhidi ya watu waliomo kwenye Vyama hivyo na ukwasi wao.

Labda niazime mawazo ya wanaosema tujenge Taasisi siyo watu, maelezo ya Mwenyeketi na Ushawishi wake kuna Wakati unanijaza hofu juu ya Uhuru wa Wanachama dhidi yake.

Vyama vyetu bado vina kazi kubwa kujenga Taasisi kuliko kuhimiza nguvu ya mtu mmoja mmoja ndani ya chama

KATIBA za Vyama vyetu uwenda ndio ziko hivyo mbovu mbovu

Britanicca
 
KATIBA za Vyama vyetu uwenda ndo ziko hivyo mbovu mbovu

Britanicca
Ila uzushi unaweza kutoka Kwa yeyote 🤔
 
Alikaa nae siku kadhaa wakiwa wanakula na kunywa huku anamshawish.

Najiuliza hilo zoez lilidhaminiwa na chama,dj au kila mmoja alijihudumia
 
Ukitaka kujiunga Chadema ili ujulikane, uheshimiwe na hata kupewa nafasi mbali mbali ndani ya chama ni lazima ukubaliane na mambo mawili ambayo ni:

1- Ukubali kuwa mtumwa wa kimawazo kwa mwenyekiti wa chama, nikiwa na maana kuwa mtu ukishakuwa katika stage hiyo hauwezi kuwa na uhuru wa kuamua jambo lolote linakuhusu wewe au familia yako bila kumshirikisha mwenyekiti na kuchukua mawazo au maamuzi yake kuwa ndio njia mbadala wa kutatua au kuamua jambo linalokuhusu ww au familia. Waliojaribu kutumia uhuru wao binafsi bila kumshirikisha mwenyekiti kila mtu aliona walivyoshambuliwa na genge la mwenyekiti bila kujali nyadhifa na heshima zao ndani ya chama, refer kwa P Msigwa na wengine wa aina yake.

2- Uwe mzee wa ndio, nikiwa na maana kwamba jambo lolote litakaloamuliwa na chama chini ya mwenyekiti wao hata kama halina tija, faida au maana yoyote kwa taifa na chama unatakiwa ukubali, na ukipinga utashambuliwa na genge la mwenyekiti kama ilivyotokea kwa hao wabunge 19 wa viti maalum nk.

Kwahiyo kwa Tanzania bado sana kupata chama cha upinzani ambacho kinaweza angalau kuonesha mfano wa utawala bora pale kitakapokamata nchi.
 
Mwenyeketi anaupendo sana Kwa Watu wake, hasa juu ya utashi wa kuwatafutia kazi, Wanachama wake, kwa shida hii ya ajira hili jambo angelifanya hata kwa Wanachama wengine, hasa hizo ajira za Nje.😀😀😀
 
Ukitaka kujiunga Chadema ili ujulikane, uheshimiwe na hata kupewa nafasi mbali mbali ndani ya chama ni lazima ukubaliane na mambo mawili ambayo ni:

1- Ukubali kuwa mtumwa wa kimawazo kwa mwenyekiti wa chama, nikiwa na maana kuwa mtu ukishakuwa katika stage hiyo hauwezi kuwa na uhuru wa kuamua jambo lolote linakuhusu wewe au familia yako bila kumshirikisha mwenyekiti na kuchukua mawazo au maamuzi yake kuwa ndio njia mbadala wa kutatua au kuamua jambo linalokuhusu ww au familia. Waliojaribu kutumia uhuru wao binafsi bila kumshirikisha mwenyekiti kila mtu aliona walivyoshambuliwa na genge la mwenyekiti bila kujali nyadhifa na heshima zao ndani ya chama, refer kwa P Msigwa na wengine wa aina yake.

2- Uwe mzee wa ndio, nikiwa na maana kwamba jambo lolote litakaloamuliwa na chama chini ya mwenyekiti wao hata kama halina tija, faida au maana yoyote kwa taifa na chama unatakiwa ukubali, na ukipinga utashambuliwa na genge la mwenyekiti kama ilivyotokea kwa hao wabunge 19 wa viti maalum nk.

Kwahiyo kwa Tanzania bado sana kupata chama cha upinzani ambacho kinaweza angalau kuonesha mfano wa utawala bora pale kitakapokamata nchi.
Mkuu kuna vijana wapo mitandaoni,ukitoa hoja ya kumjadili mwenyekiti utaoga matusi hadi ushangae..

Kwahiyo hivyo ndivyowalivyo.ni hatari sana,waache hivyohivyo na mwenyekiti wao wa kudumu.
 
Kweli mkuu. Mwenyekiti amekuwa akitumia pesa za chama kuajiri na kuwalipa chawa mbali mbali wa kumlinda na kumtetea kwa hali na mali huku mitandaoni na ndaniya chama kwa ujumla. Unaposikia kuwa toka 2005 hadi 2020 chama kimeshapokea mamilioni ya ruzuku, jumlisha makato ya wabunge wao na misaada ya wafadhili mbali mbali kama kina Sabodo lkn chama hakina ofisi yake, juwa kwamba hizo hela zote zimekuwa zikitumika katika njia za kumjenga mwenyekiti wa chama, na njia moja wapo ni hiyo ya kuajiri chawa mbali mbali wa kumlinda na kumtetea na pia kuwalipa kutokana na aina ya utetezi wao humu mitandaoni.
 
Najaribu kuwaza pia Mtu ambaye anashawishiwa na M/K "at individual capacity" kwa ahadi ya kutafutiwa kazi Nje ya Nchi, ili aachane na maamuzi yake, akikubali kufanya hivyo, uhuru wake utakuwaje ndani ya Chama!!.
Hii inatakiwa kuitafakari bila Muhemko
Wala matusi

Bado najiuliza pia anayetoa offer ya kupatia Watu kazi kutoka kwenye Ubunge, linapofika suala la Wabunge kununuliwa na kuahidiwa vyeo kama ambavyo madai yaliyokuwepo unyoofu wa maelezo hayo unahitaji kutafakari kidogo hasa likija jambo la kuwanyooshea vidole wengine.

Bado mtu bila kuogopa anataja hadharani kwamba nilimuita kumshawishi je kwanini asiseme chama kimewaita Au ninewaita Kwa niaba ya chama

Unasema umemlea mtu tokea chuo ili ashike nafasi ya chama inamaana chama hakina kamati kadhaa za kukaa na kuamua mpaka mtu mmoja?

Kwa kifupi tunasafari ndefu kidogo na Vyama vyetu, ukuaji na ushawishi wake dhidi ya watu waliomo kwenye Vyama hivyo na ukwasi wao.

Labda niazime mawazo ya wanaosema tujenge Taasisi siyo watu, maelezo ya Mwenyeketi na Ushawishi wake kuna Wakati unanijaza hofu juu ya Uhuru wa Wanachama dhidi yake.

Vyama vyetu bado vina kazi kubwa kujenga Taasisi kuliko kuhimiza nguvu ya mtu mmoja mmoja ndani ya chama

KATIBA za Vyama vyetu uwenda ndo ziko hivyo mbovu mbovu

Britanicca
Mbowe freeman ana akili kubwa kuliko magufuli
Akina amani karume walipelkwa wapo baada ya bbayao kuuwawa? Nani na kwann
 
Akili kubwa ipi mkuu. Je Kuna tofauti Kati ya akili kubwa na ujanja. Je Kuna tofauti ya mtu anayekuambia kijiko Ni kijiko sio koleo dogo? Acha mahaba ya kitoto. JPM aneshafariki.

Akili Vs Busara
Zero Vs Masters
Uenyeketi wa 10 years vs Milele.
 
Uko sawa katiba mbovu za vyama vya siasa zinateflect katiba mbovu ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom