Uhuru's 5th trip to Beijing

Wewe unaijua Kenya ipi labda ukiulizwa?
Frustration tunazo maana tunalazimishwa na CCM kuwa Masikini wakati tuna Jirani kama Kenya angenunua mazao yetu
Kenya anapesa ipi wakati yeye masikini wakutupwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Chakula anapewa cha msaada. Ajira Kenya watu hawana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanapesa gani yakununua chakula??
 
Hivi unaweza ludia kusoma ulicho andika??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wamenikosa maake najua ukweli hawana nia nzuri na ndio maana sehemu yoyote ambayo ina watu wenye kutamani maendeleo hawaitaki
Kwanza wewe unamaendeleo gani?? Unategemea serikali ikuletee chakula mezani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii ni serikali ya hapa kazi. Hatutaki kuwa tegemezi wa nchi nyingine. China pia wako na malengo yao pia wana masikini huko.. Kama unategemea serikali hapo sahau. Fanya Kazi. Hacha kuwa mtoto wa mama.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kenya anapesa ipi wakati yeye masikini wakutupwa[emoji23][emoji23][emoji23]Chakula anapewa cha msaada. Ajira Kenya watu hawana[emoji23][emoji23][emoji23] Wanapesa gani yakununua chakula??
Mbona mmewanyima kuwauzia Mahindi wameyatoa Zambia na Brazil na wanakula Ugali bila shida au nyie mlijua watakufa
 
Hivi anachotakiwa mtu ni kufanya kazi kama kichaa au anatakiwa apate kipato?
Maana nimelima kwa bidii sasa wakati wa kupata hela unanizuia Nisimuuzie Otieno au Njoroge kwa 80,000 gunia bali nimuuzie Masanja au Komba kwa 30,000 ambayo hailingani na gharama za uzalishaji ili nizidi kuwa masikini unidanganye kuna Mafisadi wameiba nikupe kura.
 

Mass transit inaitwa, the worldwide means of public transport,
You surprised me mkuu, Kwamba unataka safari ya Kariakoo -makumbusho ufungiwe tv kwenye Daladala?
 
Wamekopa kutengeneza Reli au kununua Train ?Maana sisi tunajenga reli pia ambayo hatujui itapita ipi labda ya makaa ya mawe.
Wewe ni nyumbu, alafu una kichaa.
 
Asante kwa kusema ukweli ila chunga usivamiwe na wenzako wasiopenda ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ