Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanajua kaenda kutembeza bakuli!Hivi, Geza hawa jamaa mbona huwa hawachangii hizi facts, wanapenda uandike habari za kuwasifia tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda habari nyepesi🤣😋🤣🤣Hivi, Geza hawa jamaa mbona huwa hawachangii hizi facts, wanapenda uandike habari za kuwasifia tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaeza ukawa na point mkuu, Madeni tunayoyo! Hapa una maanisha nini?Bora wao wanakopa hela inaonekana inafanya nini, bora wao wanakopa nchi inasonga sisi madeni tunayoyo tunafanya nini na mikopo yetu zaidi ya kurudia chaguzi ndogo.
Safi sana Uhuru tafutia Kenya soko la Matunda na mboga mboga sisi tutawaletea nyie packing vizuri uzeni ng'ambo.
Ukweli mtupu.Bora wao wanakopa hela inaonekana inafanya nini, bora wao wanakopa nchi inasonga sisi madeni tunayoyo tunafanya nini na mikopo yetu zaidi ya kurudia chaguzi ndogo.
Safi sana Uhuru tafutia Kenya soko la Matunda na mboga mboga sisi tutawaletea nyie packing vizuri uzeni ng'ambo.
Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.Unaeza ukawa na point mkuu, Madeni tunayoyo! Hapa una maanisha nini?
Unajua procedures zinazofuatwa za serikali kuomba mkopo na monitoring ya matumizi ya hiyo mikopo zilivyo?
Unasema Kenya inasonga, unaeze tupa takwimu tuzilinganishe na Tz. Nitashukuru sana ukinijibu MTO CHORO.
Tanzania moja the most heavily indebted poor countries zilizo samehewa deni na G8 counties + world bank. Tz ni Mchezo tu! Baada ya Kusahemewa deni ya over $ 5billion dollars, What have you done with all that debt?.Unaeza ukawa na point mkuu, Madeni tunayoyo! Hapa una maanisha nini?
Unajua procedures zinazofuatwa za serikali kuomba mkopo na monitoring ya matumizi ya hiyo mikopo zilivyo?
Unasema Kenya inasonga, unaeze tupa takwimu tuzilinganishe na Tz. Nitashukuru sana ukinijibu MTO CHORO.
Na bado wamekopa more than $2 billion.Tanzania moja the most heavily indebted poor countries zilizo samehewa deni na G8 counties + world bank. Tz ni Mchezo tu! Baada ya Kusahemewa deni ya over $ 5billion dollars, What have you done with all that debt?.
View attachment 917524
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Magu hajawahi kutoa mguu wake kuvuka Africa akiwa Rais.. ila wanaleta wenyewe..Na bado wamekopa more than $2 billion.
HIPC ilikuwa enzi za Mkapa zaidi ya 10 years ago...Tanzania moja the most heavily indebted poor countries zilizo samehewa deni na G8 counties + world bank. Tz ni Mchezo tu! Baada ya Kusahemewa deni ya over $ 5billion dollars, What have you done with all that debt?.
View attachment 917524
Acha kuropokwa unadhani tz ni uhuruto wa high speed railwayNa bado wamekopa more than $2 billion.
ze ze ze ze zinamzuia kutoka nje inabidi amuombe Zuma pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Magu hajawahi kutoa mguu wake kuvuka Africa akiwa Rais.. ila wanaleta wenyewe..
Hatutumii zaidi ya 50% ya makusanyo yetu kulipa mikopo.. nasikia Kenya mmefikia 52%.. nacheka zaidi eti mnakopa ili kulipa madeni..
Halafu viongozi wenu wanajenga Malls [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania moja the most heavily indebted poor countries zilizo samehewa deni na G8 counties + world bank. Tz ni Mchezo tu! Baada ya Kusahemewa deni ya over $ 5billion dollars, What have you done with all that debt?.

😂😂😂 idiot.HIPC ilikuwa enzi za Mkapa zaidi ya 10 years ago...
Sasa hivi Kenya ni HIPC maana mna madeni mpaka mnatia huruma..
Nliskia mnafunzwa kwa kiswahili masomo yote.Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
Ulivyo anza kwa kusema Kenya ina kila kitu ambacho Tz haina ukanichosha kuanza kuku jibu! Ila ngoja nijitahidi, Unaposema usafiri wa umma wakenya uko vizuri unathibitisha hujawahi kufika Nairobi, ata huko mashinani hamna utaratibu wa kueleweka. Tz kila mkoa unajengwa stand za bus zenye huduma zote za msingi kwa abiria,Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.