Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Hana tabia zozote mbaya na mara nyingi Huwa tunaongea kuhusu michongo na kipi tufanye kuanzisha ata biashara nk
 
Mtafutie demu
 
Hana tabia zozote mbaya na mara nyingi Huwa tunaongea kuhusu michongo na kipi tufanye kuanzisha ata biashara nk

Nachokiona kwako sio kwamba unamuhisi vibaya Ila unamtafsiri kupitia references za maisha ya wengine lakini pia insecurities zao.

Mfano Kuhusu lunch or dinner nadhani wengi wameweka kama ni date kichwani na wakati ni watu wengi tu wanaitwa bar kununuliwa bear na nyama choma na rafiki zao na waona ni sawa.

Kwa hiyo nadhani watu wengi especially sisi wanaume hatujazoea kuona ule upendo halisi. Kupendwa bila mtu kuweka maslahi ya kibiashara au hobby ndio maana wengi wanachanganyikiwa pale life linapoenda mrama.maana anakuwa na watu anaofahamiana na si marafiki wa kusimama nae..

Wewe umepata mtu yupo real kwako kwa hiyo ni sawa kuwa na mashaka na hayatakiwi kwisha kama akili yako inafanya kazi. Lakini usimtengenezee mtu ubaya kama hajakuonesha hata dalili moja

Niamini, Leo huyo dogo akajua unavyomuwazia, naamini atasepa na akiondoka ipo saa utakaa na kuanza kumiss usumbufu wake mkuu kwa sababu dunia ya leo. Watu wanakuwa karibu na watu kwa maslahi tu
 
Wewe aidha umetunga story ya ushoga au umekuja kutuchezea tu akili.

Mwanaume kamili asie shoga hawezi kuwa na tabia zenu ww na huyo dogo
 
Simu waziii vibaya najua hayupo umu ndiyo maana
 
Wewe aidha umetunga story ya ushoga au umekuja kutuchezea tu akili.

Mwanaume kamili asie shoga hawezi kuwa na tabia zenu ww na huyo dogo
Mtaani kwenu inaonekana Kuna mashoga sana
 
Mtaani kwenu inaonekana Kuna mashoga sana
Wewe ni shoga pumbavu ww.

Unaleta mada humu eti dogo dogo dogo.

Nyie mashoga tu mnataka kuongelewa, kupata attention za kipuuzi, na wanaokushauri hapa ni wajinga tu maana wameingia king kwenye lengo lako la kupata attention choko ww usie na linda hata robo
 
Simu waziii vibaya najua hayupo umu ndiyo maana

Hakuna mtu mwenye mashaka sehemu palipo sawa ama tulivu. Kukosa kwako uelewa wa uhusiano baina yenu ni wazi kuna masaala unayaona sio ya kawaida kwa wanaume.

Hivyo, kama humuwazii mabaya ni sawa pia
 
Kwenye kusoma niliwahi kuwa na rafiki wa dizaini hiyo. Kwanza yeye alikuja na kikaratasi kakiandika kuwa “ naomba niwe rafiki yako”, amechora na vi maua 😆😆aiseee. Nilimchukulia namna gani sana. Sema nini niliyasoma madhaifu yake na tukawa marafiki akanikubali sana na mimi nikichokifanya nikamtafutia demu.
 
Uyo alizidi
 
Nyie mnaojifanya kupinga vitu hadharani sirini mnavipenda na kuvifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…