iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Hiyo DP yako imenifanya nitafakari sana
DP yangu imekufanya nini mpaka ufikilie..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo DP yako imenifanya nitafakari sana
😂😂😂Yaani kwao ambae hanipendi ni mama Yao tu na Huwa wananiambia kabisa
Umeandika fikra zangu kabisaBira shaka dogo ni wakishua, na ni mtoto wa kiume pekeake nyumbani kwao, bas huenda anatamani kuwa na bond nzuri na wewe kama mwanaume mwenzake, lakn wewe unaanza kumhisi vibaya
KwishaaaSimba Hanyatiwi ila huyu keshanyatiwa na hajastuka.
Namuelekezaga na Huwa ana nielewaWacha kupeleka mawazo mbali na acha kuwaza negative dogo amekuelewa na amekupenda km bro km rafiki so enjoy maisha cha msingi ww ni mkubwa kwake bas mpe ushauri wa kiutu uzima na umfundishe kujua Mema na mabaya km bro km rafiki yake
Hakika kabisa uyu ni wa pili wa kwanza tulishaga unganisha familia ikawa undugu kabisa nae ni mshikajiUmeandika fikra zangu kabisa
Huyu dogo inaonekana ameishi maisha ya kujitenga Sasa alivyotokea huyu dogo mwenzie Kuna potentials fulani aliziona ndo maana akawa amemkubali mshikaji kwa hiyo ni kawaida hai watu hutokea kwenye maisha chini ya mara 2 tu
Anaweza kuwa wa ndani ya familia au mke/mume au mtu baki anayekujali sana Sasa wewe ukijiona ni WA maana sana umzingue ndo unapaoteza hiyo bahati ya mtu wa hivyo mazima
Kila mtu na mtuwe na pia kila shetani na mbuyu wake hizi methali zina uzoefu wa maisha
Japo kwa ujanja, ila mimi naona uko wazi kabisa, unahamasisha LBTQ. Mashaka yangu usije ukawa mmojawao.Habari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo
Alikuja kuniambia siku moja Kuna dada ake angependa niwe shemeji yake dada ake alikuwa sio haba kweli tukazama mapenzini na dada yake kiasi dogo akawa anachekwa kitaa na nyumbani Wana muattack kuwa anamtafutia dada ake mabwana ikaenda Mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa karibu Sana na dada yake one day dogo alinilalamikia Sana kuwa dada yake ni wa kupita tu Mimi na yeye ushikaji sio wa kupita alilalamika mno kuwa kumpotezea sio fair
Ikaenda Mimi na dada yake tukaachana dogo kahangaika mno kutuunganisha ila wapi dogo alikuwa karibu na Mimi Sana Iko kipindi akimlaumu dada yake
Imeenda nae mahusiano yake yakawa Yana haribika namjenga na kumtia moyo Hadi Leo hii dogo Huwa Kila siku lazima anipigie simu akiamka kunijulia Hali mwanzo nilikuwa naona usumbufu now akipiga lazima nipokee
Akija mkoa nilipo lazima alete zawadi kwangu akija lazima anitoe out na atake tukae nae mda wote tunapiga story sasa Huwa najiuliza Mimi Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?
Nyie wote mna shida.Habari za saivi wakubwa

Awe makini asije akalaumu baadayeLkn mapenzi yake yamepitiliza,how come anakupigia kila siku,na hayo mengine sijui zawadi nini,sio kawaida ushkaji wa namna hiyo
Nani kakwambia mabwabwa hamuwezi kuwa kimahusiano na wanawame wengine?Hamna kabisa ana mademu kibao Huwa ananitambulisha