white rose
Member
- May 24, 2015
- 61
- 22
Habari za Jumatatu ndugu zangu,
Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si rijali, swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili kisayansi???? nahitaji kujua ili kuwa makini.
Asanteni......

Hii kitu IPO sana tu japo kisayansi haina prove kuna watu sio rixiki kabisa na hii ni based hasa kwa Africa don't ignore it kwa kusubiri science ya wazungu be careful
Yani ii hpo kabisa hadi kijijini nilikotoka kuna watu wana hyo effects. Kuna vtu ni kama miiko ya ki Africa siku nikiwa na mwanangu wa kiume nitakua makini sanaHalafu watu wanapinga kwa nguvu kweli lakini hakuna hata mmoja aliyewahi au ambaye yuko tayari mwanae afanyiwe majaribio
Kuna ukweli 100% wa hili jambo, kikidondokea tu mwanao anakuwa 'kamuzu'!
Hizo ni imani potofu tu ndugu yangu
Jitahidi tu kisidondokee
Qumamae we zarau jadi uone kama toto lako halijawa shoga,kabla kitov hakijadondoka hakuna kulala