Uhusiano kati ya kitovu na nguvu za kiume

Uhusiano kati ya kitovu na nguvu za kiume

white rose

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
61
Reaction score
22
Habari za Jumatatu ndugu zangu,
Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si rijali, swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili kisayansi???? nahitaji kujua ili kuwa makini.
Asanteni......
 
Ushawahi kuisikia Google? Bing je?
 
kuna mambo mengi ya kijadi na ya kiasiri ambayo ufafanuzi wake ni mgumu sana lakini tusiyadharau wala kuyapuuza.
Nimekua nikisikia hivyo nakushauri fuata hivyo pia japo hatujui uhakika wa hilo. LAKINI

Pia itakufanya uwe makini na kitovu cha mwanao wakati kinakatika kwani kitovu ni muhimu kisikatike hovyo kwani kinaweza kutumiwa kimira na wabaya wakamuharibu mtoto.

Pia hii itakufanya ukifanyie uchunguzi mara kwa mara kujua kinaendeleaje kwani ni kiungo muhimu kwa afya ya mtoto.
 
Habari za Jumatatu ndugu zangu,
Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si rijali, swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili kisayansi???? nahitaji kujua ili kuwa makini.
Asanteni......

Jitahidi tu kisidondokee
 
Kaka acha mchezo kwenye hilo,kama huamini liache kama lilivyo ila majuto ni mjukuu.
 
Hii kitu IPO sana tu japo kisayansi haina prove kuna watu sio rixiki kabisa na hii ni based hasa kwa Africa don't ignore it kwa kusubiri science ya wazungu be careful
 
Kuna ukweli 100% wa hili jambo, kikidondokea tu mwanao anakuwa 'kamuzu'!
 
Hii kitu si kweli kabisa sema kwa kiasi fulani imewasaidia kina Mama kuwa macho na kitovu cha watoto kwa maana ya usafi na kuwafunga watoto Nepi siku hizi pampers.
 
Kuwa makini na hilo jambo usifanye mchezo kabisa,hata ikiwezekana mwambie Shemeji amzungushie kitambaa ili kitakapotoka kisiangukie kwenye kijiji
 
Halafu watu wanapinga kwa nguvu kweli lakini hakuna hata mmoja aliyewahi au ambaye yuko tayari mwanae afanyiwe majaribio
Yani ii hpo kabisa hadi kijijini nilikotoka kuna watu wana hyo effects. Kuna vtu ni kama miiko ya ki Africa siku nikiwa na mwanangu wa kiume nitakua makini sana
 
Hizo ni imani potofu tu ndugu yangu

Hizi zinazoitwa imani potofu mbona sijawahi kuona watu waliozifanyia majaribio? Ili kuja kututhibitishia kuwa si za kweli na zinapotosha? Jaribuni kwa vitendo muone
 
Qumamae we zarau jadi uone kama toto lako halijawa shoga,kabla kitov hakijadondoka hakuna kulala
 
Qumamae we zarau jadi uone kama toto lako halijawa shoga,kabla kitov hakijadondoka hakuna kulala

Kama ni swala la kina mama kuwa makini kwa kutunza usafi wa kitovu cha mtoto isingekuwa kwa mtoto wa kiume pekee, vipi kwa mtoto wa kike je kitovu kikidondokea kwenye papuchi nini kitatokea???????
 
Back
Top Bottom