white rose
Member
- May 24, 2015
- 61
- 22
Habari za Jumatatu ndugu zangu,
Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si rijali, swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili kisayansi???? nahitaji kujua ili kuwa makini.
Asanteni......